TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

attachment.php
 
Aisee. Simpendi kama nisivyowapenda ccm wengine lakini kupiga picha mwili wa marehemu na kuisambaza not good!! Maiti ipewe heshima yake. Mods tafadhalini iondoeni hii picha ya ya mwili wa marehemu.
 
Too sad...tangulia kamanda...tangulia mbele kamanda
 
Habari hii ya kifo cha mbunge wa mbinga,kapteni John Komba ni yakweli.Clouds Tv wameitoa sasa hivi kama breaking news.
 
Duuu jamaa kaamua kufa mapema akiogopa katiba mpya!!!??
 
Rest in peace
Lakini mm nakukumbuka kwa kutetea upuuzi
Hii dunia tuna pita tu msipende kujifanya vinganganizi
 
R.I.P captain. kazi ya Mungu haina makosa. umeacha pengo ccm, nyimbo zako zingehitajika sana kipindi si kirefu kijacho. Mtunzi hodari, nitakukumbuka tu kwa ule wimbo wa mwalimu. Bila shaka wasanii watakuaga kwa heshima unayostahili.
 
Back
Top Bottom