TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

warumi unacho andika si ustaarabu hata kidogo, marehemu huwa hakashfiwi. Tambua hata wewe una ndugu zako uta jisikiaje ukisikia amekufa kisha mwili wake unakashfiwa?
 
Sasa nani atamtungia naye mwimbo Wa maombolezo sababu kamwimbia Samora, Mwalimu, Sokoine etc May God Rest his Soul in Piece.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Abdul Misambano labda....
 
mwaka 1977 alikuwa mwalimu shule ya msingi Gangilonga mjini Iringa pia alikuwa akiongoza kikundi cha kwaya CCM ofisi ya mkoa wa Iringa
 
Msiba kila utokeapo kuna kitu tunafundishwa. Na kubwa kulikon yote ni kuwa
1) HAKUNA BINADAMU AJUAYE SAA WALA DAKIKA ATAKAPOTWALIWA
2) MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WEWE SIYO LAZIMA AFARIKI KABLA YAKO (wapo waliowahi kusema kuwa hawa ------- ni watu wanaosubiri kufa, sisi vijana tuachiwe tuamue hatima ya nchi yetu)
3) HAKUNA BINGWA WA KUKISHINDA KIFO
4) TUNAWEZA KUWA JEURI SANA DHIDI YA WENGINE LAKINI TUNAFANYA HIVYO KWA UPUMBAVU LAITI TUNGEKUWA NA HEKIMA TUNGETUMIA MUDA WETU KWA KUWAPENDA NA KUWAHUDUMIA WENZETU ILI MAJINA YETU YASIFE NA HAZINA YETU IWE KUBWA MBINGUNI

NB: WALE WENYE MABILIONI YA PESA YA WIZI NA DHULUMA KWENYE MABENKI YA NDANI NA NJE, TAMBUENI KUWA SIKU ZA KUISHI BINADAMU ZIMEHESABIKA HATA TUNGEONGEZA PESA ZIWE NYINGI KIASI GANI, HESABU YA MUNGU WETU ALIYOTUPANGIA, KAMWE HAIBADILIKI. TUTENDE HAKI NA WEMA KADIRI TULIVYOJALIWA.
 
mimi ni mwanadamu sikupewa mamlaka ya kuhukumu wanadamu hiyo ni kazi yake mola hatukuendana itikadi ila ktk hili naomba upumzishwe panapostahiri
 
Hivi ile shule Bakili Muluzi bado ilikuwa yake??
 
Msiba kila utokeapo kuna kitu tunafundishwa. Na kubwa kulikon yote ni kuwa
1) HAKUNA BINADAMU AJUAYE SAA WALA DAKIKA ATAKAPOTWALIWA
2) MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WEWE SIYO LAZIMA AFARIKI KABLA YAKO (wapo waliowahi kusema kuwa hawa ------- ni watu wanaosubiri kufa, sisi vijana tuachiwe tuamue hatima ya nchi yetu)
3) HAKUNA BINGWA WA KUKISHINDA KIFO
4) TUNAWEZA KUWA JEURI SANA DHIDI YA WENGINE LAKINI TUNAFANYA HIVYO KWA UPUMBAVU LAITI TUNGEKUWA NA HEKIMA TUNGETUMIA MUDA WETU KWA KUWAPENDA NA KUWAHUDUMIA WENZETU ILI MAJINA YETU YASIFE NA HAZINA YETU IWE KUBWA MBINGUNI

NB: WALE WENYE MABILIONI YA PESA YA WIZI NA DHULUMA KWENYE MABENKI YA NDANI NA NJE, TAMBUENI KUWA SIKU ZA KUISHI BINADAMU ZIMEHESABIKA HATA TUNGEONGEZA PESA ZIWE NYINGI KIASI GANI, HESABU YA MUNGU WETU ALIYOTUPANGIA, KAMWE HAIBADILIKI. TUTENDE HAKI NA WEMA KADIRI TULIVYOJALIWA.

well, labda kina mzee mengi tu ndo waijuao vema hii filosofia. lakn haya majoka ya makengeza...mmmh!! i doubt kama yatasikiliza ushauri wako. sana sana yakikujua chunga meno na kucha zako.
 
Huwa hatupendi kushabikia mauti wala kufurahia kifo cha mtu ila malipo ya kila kitu yapo hapa hapa duniani

Mshukuru Mungu kwa kila hatua na ukumbuke cheo ni dhamana usije kukitumia vibaya,

fikiria mzee warioba yupo hai ila kapten komba katangulia mbele za haki nways RIP kaptn komba sisi sote twaja
Kweli kabisa. Kuna wengine wameamrisha watun wapigwe kwakuwa wana vyeo vya kutoa amri hizo. Kuna wengine wanapiga, kutesa watu na kuua halafu wanapandishwa vyeo kwa kazi haram kanakwamba wao ndio wenye hati miliki nyaq maisha ya watu. Ukijua kuwa kuna siku utakufa hakuna haja ya kutesa, kupiga na kuua watu wasiokuwa na hatia. Viongozi wenye vyeo vya kuamua juu ya hatma ya maisha ya watu wajifunze kwa Nyerere ambaye alijua kuna suku isiyo na jina atauacha ulimwengu huu hivyo akajinyima kujilimbikizia mali kwa ufisadi na akaepuka upendeleo kwa ndugu jamaa na marafiki. Hatutapata tena kiongozi kama Nyerere. Majigambo na vitisho ni jeuri tu ya uzima. Mauti yakitufika ndipo tunakumbuka kuwa kumbe sisi si chochote mbele ya Mungu. Waliotangulia wako wapi?! Wapo viongozi walioongoza na kusimamia mateso na mauaji kama yale ya Mwangosi kule Iringa. Waliotesa wastu kama wale waliowatesa Dr Ulimboka na Kibanda. Wapo walioamrisha mauaji ya raia wasiokuwa na hatia kwenye mikutano ya kisiasa kama kule Arusha, Morogoro, Iringa na Songea. Wapo walioshangilia mateso ya watu wasiokuwa na hatia kama alivyofanya mbunge mmoja mjinga aliyeshangilia kupigwa kwa Lipumba. Hivi hawa wakifa nani ataona ni hasara na nani atawalilia. TUKUMBUKE UHAI SIO MALI YETU. MWENYE NAO ANAWEZA KUUCHUKUA WAKATI WOWOTE TENA KATIKATI YA MAJIGAMBO YETU ya kwenda msituni. R,I.P Komba!
 
You will be still remembered in Malawi when hired by Dr Bakili Mluzi former presida to do campaign for him with your TOT band.
R.I.P

kumbe ndio maana ile shule ikaitwa Bakili Muluzi
 
R.I.P KOMBA..... nyimbo za maombolezo kifo cha Nyerere ulizitunga muda gani??.. au ulikua na siri ya kifo chake??
 
Back
Top Bottom