TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Hebu acha kuandika Pumba bana wewe Msalani!!! Huyu fisadi mnamuamini nyie watetezi wa mafisadi usitake kutia kundini Watanzania ambao tunawachukia mafisadi wote akiwemo fisadi Lowassa.

Huenda ID yake imekuwa hacked Aisee.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni hatari sana kumkabidhi Lowasa nchi tusirudie makosa nchi hii siyo yakifisadi
 
kwani komba ameleta mchango gani kwenye hii nchi, mchango wake upo kwa ccm tu na si kwa taifa zima. hivyo ukiweka mazishi kwenye tv ya taifa ambayo sio ya ccm utakuwa matumizi mabaya ya rasilimali. huyo albino aliyechinjwa aliwekwa kwenye luninga?
 
Nyie uvccm njaa zitawaua pumbavu zenu huyo siyo mstaafu ni aliyefukuzwA kwa uwizi wa hela za watz .....
Anyway mkuu wa hiyo wilaya mbona simwoni mpka leo hApo ?Au madereva wamemzuia?
 
Hiki kifo cha Komba ni pigo kubwa katika plan za EL kwenye urais. Alikuwa mpiganaji wake mkubwa
 
aiseee babaya nimepita juu nimewaona mafisad kibao hapo namwona lowassa anataman msiba uishe mapema ainunue nyumba
 
Back
Top Bottom