Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,871
Nitumaini kweli la mstuniMungu akulinde Mh.Lowassa, Watanzania tulio wengi bado tunaamini wewe ndio tumaini letu lijalo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumaini kweli la mstuniMungu akulinde Mh.Lowassa, Watanzania tulio wengi bado tunaamini wewe ndio tumaini letu lijalo!
Hebu acha kuandika Pumba bana wewe Msalani!!! Huyu fisadi mnamuamini nyie watetezi wa mafisadi usitake kutia kundini Watanzania ambao tunawachukia mafisadi wote akiwemo fisadi Lowassa.
Bashe nae ni mheshimiwa?
Ni hatari sana kumkabidhi Lowasa nchi tusirudie makosa nchi hii siyo yakifisadi
Team Lowasa kazini
EL uwazir mkuu mstaafu ni mwaka jana mwaka huu ni Rais awamu ya tano
aiseee babaya nimepita juu nimewaona mafisad kibao
Hiki kifo cha Komba ni pigo kubwa katika plan za EL kwenye urais. Alikuwa mpiganaji wake mkubwa
​apumzike kwa amani