TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Kumbe Lowasa ni mtu maarufu zaidi hata ya Rais JK...maana JK kafika msibani ila hajaanzishiwa thread.Nilikua sijui ndo naanza kuelewa sasa..

Ulikuwa hujui???mbona hii iko wazi sana!umaarufu wa Mr Edo unakua siku hadi siku.
 
Inasikitisha sana......Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache na zenye misukosuko.
 
kwenye heding yako ondoa neno 'MAREHEMU'
marehemu au (marhumu) ni mtu alokuwa mwema akiwa hai.na sifa hii huyu bwana hana huyu mwite (MAYYITI) Kwa Kiswahili Mwite 'mfu' Hi Inamstahili.
Halafu Mbona Wabunge Wengi Wamekufa Lakin Katibu Hakuja Apa Kutoa Tangazo La Kuwapeleka Karimjee Au Kwa Kuwa Uyu Ni Mpiga Zumari La Kuwahadaa Masikini Wawachague Il Muibe Pigo La Mungu Ni Hilo Kidumu Chama Chenu.
 
Nilikuwa naangalia Habari ya saa 2 ITV. Nampenda sana Mzee Lowassa, yupo straight kwenye kauli zake. Nimependa sana pale aliposema: "marehemu ni muhimu sana kwa familia, chama chetu katika harakati za kushika dola na HASA MIMI BINAFSI".
 
Yaani lowasa kwenye picha hapo baada ya kusaini kitabu anaonekana kabisa anavyotamni kuwa raisi wa nchi hii lakini atashindwa inshaallah.
 
Pamoja na yote namtofautisha Mh.Lowasa na wanasiasa wengine ambao ni ni wanasiasa matajiri au wana nafasi zao,sijawahi kumsikia akisema maneno ya KEBEI/DHARAU au maneno ya KUUZI wananchi,iwe ni bungeni,kwenye magazeti au kwenye vikao vyao,hana kauli kama za nyoka wa makengeza,au za bibi yetu wa milioni10 ya mboga,au za tutakula majaniau wauza juisi, kwa hilo nampongeza, kwa jinsi anvyosemwa nadhani angeshakuwa ameropoka mengi ya kuuzi.

Hata Mimi nampongeza sana tena sana kwa kutokemea UFISADI hata siku moja.

Ni mtu Fulani sana, nampongeza sana
 
Baba wa taifa alituachia wosia huyu lowasa tusije kumpa uongozi aliona mbali sana yule mzee haiwezekani mtu anunue urais.
 
Leo....nataka nipeane mkono na huyu fisadi...nimvute kamkonoo.....nipime kiwango chake cha kupoozaaa......nipo hapa msibaniii
uuuuuuuuuuuwi, wewe angalia, unajitafutia mada kesi, huyo ni supana mkononi, ni ene taimu atalowasika, ni hele tu ndo inamshikilia hapo kwa mda
 
Sauti ya wengi n sauti ya mungu nmesikia watu wengi sana hapa msiban wanaongea khs lowasa,kumbe ndo habar ya mjini 2015 ntapiga kura kwa ajili ya lowassa maana anazo sifa za kuniongoza
 
kwenye heding yako ondoa neno 'MAREHEMU'
marehemu au (marhumu) ni mtu alokuwa mwema akiwa hai.na sifa hii huyu bwana hana huyu mwite (MAYYITI) Kwa Kiswahili Mwite 'mfu' Hi Inamstahili.
Halafu Mbona Wabunge Wengi Wamekufa Lakin Katibu Hakuja Apa Kutoa Tangazo La Kuwapeleka Karimjee Au Kwa Kuwa Uyu Ni Mpiga Zumari La Kuwahadaa Masikini Wawachague Il Muibe Pigo La Mungu Ni Hilo Kidumu Chama Chenu.
Siasa chafu msibani hzifai ndugu kwani licha ya kuwa wote twaweza kufa lakini wafiwa waweza kuwa wafuasi wa upinzani sasa au baadae kama tukiwashawishi positively kujipambanua na CCM ya mabavu na kila namna ya ubaya. Usiuige ubaya wao ukatuletea sisi wastaarabu. Ukiweza omba radhi au huwezi basi kaa kimya kwani Mungu yu kazini asikukumbuke nawe bure.
 
Back
Top Bottom