Au "Teeth" wanaleta taharuki ili watutoe kwenye reli maana wanajua wabongo wanapenda kushabikia mipira sana.Bahati mbaya sikuhizi mimi si shabikii wa yanga, mi sikuhizi ni shabiki wa MO29 na sasa D9.
D9........Wakuu,
Katika tukio lililoamsha hisia za mashabiki wengi wa soka hapa nchini, ni hili la nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya Yanga Dickson Job kuzuiliwa bandarini.
Kupitia hii video inayosambaa kwa kasi mtandaoni nahodha huyu wa Yanga anaonekana akiwa anafika bandarini na wachezaji wenzake lakini baadae alizinguliwa na askari kwa sababu alikosa hardcopy ya kitambulisho chake
View attachment 3504021
Wacha upuuzi, Inaonyesha hujawahi kusafiri na uratibu hujui au upo ngara Huko. Kutoka ZNZ kuja Dar lazima uonyeshe kitambulisho Sawa na kutoka Dar kwenda ZnZ. Jiukize Kwa nini SGR inayoenda Dodoma nayo pia unatakiwa kuonyesha kitambulisho. Jee Dodoma ibaitawala Dar. Tafuta pesa tembea siyo kuleta upuuzi kana huuHalafu tukisema Tanganyika inatawaliwa kimabavu na mgeni kutoka nchi jirani, kuna watu wanabisha na kutuona sisi ni wabaguzi!
Tukiwaambia Zanzibar ni nchi huru inayoishi kwa kuinyonya Tanganyika kupitia kisingizio cha muungano wa changu changu, chako changu! Bado kuna watu wanapinga!
How come mtu akienda Zanzibar analazimishwa kuwa na kitambulisho! Lakini Wazanzibari hao hao wakija Tanganyika na vichwa vyao vya flat screen, hakuna anayewauliza kitambulisho? Huu ni upumbavu kuendelea kuungana na hawa wabaguzi.
Kwenda Zanzibar inahitaji kitambulisho?Kwani Identification lazima NIDA?
Hana Leseni? Hana Kadi ya kupigia Kura? hana Passport? Ni uzembe wa hali ya juu kukosa moja kati ya hivyo vitambulisho ,mimi ni yanga damu lakini "WaKazi" kazingua.
Ndiyo maana tunataka Muungano uvunjwe tu hauna maana.Kwenda Zanzibar inahitaji kitambulisho?
Wazanzibari wanaokuja bara nao vipi
Kwani hawakuwa na tiketiHaya mambo mengine mnalaumu tu,
Toka muda tumeambiwa na Mwinyi,
Mbebe vitambulisho, Nido,pass,chochote
Na kafafanua kabisa kiusalama which is hata boti izame watajua nani alikuwemo etc.
We unaleta umaarufu wako matako ya kuku wacha wakurudishe tu.
Hapo kuna la kulaumu.?
Ni sasa,ila ishasemwa hapa usipande boti,ndege etc kwenda zenj bila vitambulisho.Kwani hawakuwa na tiketi
Hata hivyo aliruhusiwa bila hardcopy ya nida
Je SGR unapipanda kwenda Dodoma na kuonyesha kitambulisho pia dodoma nchi nyengine? Hivi jamani Kwenye vichwa vyenu mna usaha?Ni sasa,ila ishasemwa hapa usipande boti,ndege etc kwenda zenj bila vitambulisho.
It mean ile ni nchi ingine