Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya yako na timu yako,ya Yanga waachie wana Yanga.Ni kweli huyo ni bonge la mchezaji,lakini yanga watujibu mambo yafuatayo:
1.je hao wachezaji wote wamesajiliwa kwa matakwa ya kocha yupi,maana mpaka sasa hawana kocha mkuu
2.lugha ni moja ya changamoto kubwa sana kwenye ufundishaji,.kakati wao ni upi?
3.yanga ni klabu ambayo haina fedha,huyo kocha na hao wachezaji nani atawalipa huko mbeleni?
4.kila kitu kinafanywa na gsm,je wana back up plan,in case gsm wakijitoa ghafla?
5.muundo mzima wa klabu ya yanga hauelewi kabisa,hatujui chain of comand ya yanga ikoje,sasa kwa hali hii, urugu ikitokea miongoni mwa viongozi,nani atamrekebisha mwenzie?
Jamaa wa kulia hapo kwa hilo jicho ni kama nasema "Tumepigwa"View attachment 1547788
Carlos Stenio Fernandes Guimares"Carlinhos", amewasili nchini Tanzania mchana wa Leo tayari kabisa kwa kuanza kuitumikia timu yake mpya ya Yanga
Carlinhos ambaye anacheza nafasi ya Kiungo mshambuliaji, anasemekana atakuwa ni kiungo bora kabisa ambaye amewahi kucheza kwenye ardhi hii ya Tanzania
Carlinhos anatokea kwenye timu ya Interclub ya nchini Angola, ujio wake Yanga na wachezaji wengine waliosajiliwa msimu huu unawapa washabiki na wanachama wa Yanga imani kubwa kuwa msimu ujao utakuwa wa furaha kwao
Leo kafanya yakeJamaa wa kulia hapo kwa hilo jicho ni kama nasema "Tumepigwa"
HahahaTusisikie wamegoma kisa hawajalipwa mishahara...
Daima mbele,nyuma mwiko