Carlinhos, Kiungo fundi na bora kabisa kutoka Angola atua nchini kujiunga na Yanga

Yanga ijiandae kwenda kuilaumu tena kuwa inaipendelea simba
 
Fanya yako na timu yako,ya Yanga waachie wana Yanga.
 
Wale wazee wanaolelewa kituo cha msimbazi watatapishwa ugoro
 
Jamaa wa kulia hapo kwa hilo jicho ni kama nasema "Tumepigwa"
 
Carlinhos ni sawa na chama 434,chikwende 10987
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…