Carol Ndosi ni nani haswa?

Status
Not open for further replies.

Absolutely. Changamoto kubwa sasa hivi ni uwanja, Leaders mwisho saa 2 usiku, tumejaribu Tanganyika Packers but bado logistics za pale pia zina changamoto. We are still searching ndio maana imebidi tufanye from June.
 
Huyu binti ana kipaji sana hata mimi nilikuwa mfatiliaji mkubwa wa kipindi cha siasa za siasa kwakweli nilikuwa disspointed alipokatisha kile kipindi.....
Mzigua90 ulikuwa na nani siku hiyo maana hapa wivu umenishika sidhani kama sitalazwa....
hahahahaha
 
Oh wow! That was you! Nashukuru wangu..kwanza kwa kuja..na pili kwa kuitikia wito. Wateja wetu ni kila kitu kwetu. Thank you for the support.
Unatukumbuka? Tulikua wadada watatu. Mie mdau wako mkubwa sana wa nyama na ni rafiki wa Franklin pia your brother. Nyama choma ya mwezi wa nne tulichukua banda kwako na my friends banda flan lilikua na wadada wazuri wazuri la mwanzoni kabisa.
 
Kama ni mwezi 4 basi nikupe pole na ile mvua kubwa sana iliyo tukutua siku ile.
 
Nilikua na rafiki zangu wawili bby usipate wivu sawa eeh.
 
Yani ile mvua ilitukomesha. Banda letu tu ndo maji hayakutusumbua sana na watu walikua wanakuja sababu wanaona wadada. Tunashukuru Mungu hatukupata hasara japo mazingira hayakua rafiki.

Dah..poleni sana kwa kweli..
 
Absolutely. Changamoto kubwa sasa hivi ni uwanja, Leaders mwisho saa 2 usiku, tumejaribu Tanganyika Packers but bado logistics za pale pia zina changamoto. We are still searching ndio maana imebidi tufanye from June.
Ok,Pole...siyo mwisho saa 6?
Hili la Leaders sisi wadau tutalipigia kelele bila shaka soon mambo yatabadilika nafikiri hii ni changamoto kubwa sana tena sana.....mimi nilifikiri mwisho ni saa 6.
 
Dah saiv amekua kisu sana aisee dah..tofaut na kipind kile yupo eatv.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…