CarolNdosi
Member
- Jul 16, 2015
- 45
- 505
- Thread starter
- #41
Jf una watu wengi wanapenda kupata challenges zako itapendeza ukiweza kuleta hizo hoja huku jf kama ilivyo kule Twitter!
Nitajitahidi kuwa more active huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf una watu wengi wanapenda kupata challenges zako itapendeza ukiweza kuleta hizo hoja huku jf kama ilivyo kule Twitter!
Pengine walikuwa wanayo point kabisa...kulipeleka pale lazima lilete shida tuu...
Endelea kulipeleka kwenye viwanja vikubwa na vingine vinavyo chukua watu wengi zaidi kulipeleka kwenye viwanja vya vyuo lazima wataanza kuweka masharti yatayo waathiri...
Nina hakika mkijipanga vyema popote watafata na mtaweka historia...
Huyu binti ana kipaji sana hata mimi nilikuwa mfatiliaji mkubwa wa kipindi cha siasa za siasa kwakweli nilikuwa disspointed alipokatisha kile kipindi.....Nini kilitokea kwenye kipindi cha siasa za siasa? Nilikipenda kweli kile kipindi.
And naomba nikuambie una customer care nzuri. Last time Nyama Choma Moshi tulikutana na wewe tukiwa tunatoka. Ukatusimamisha like mnaenda wapi mbona mapema au mmeboreka. Tukakuambia tunatoka mara moja tunarudi. Kweli tulikua tumeboreka ila ukatumbia tusubirie Aslay anapanda na kama kuna kitu kimetuboa tukwambie. Ulitufanya tujisikie vibaya kuondoka na ilibidi turudi baadae sababu tulikuahidi tunarudi.
Unatukumbuka? Tulikua wadada watatu. Mie mdau wako mkubwa sana wa nyama na ni rafiki wa Franklin pia your brother. Nyama choma ya mwezi wa nne tulichukua banda kwako na my friends banda flan lilikua na wadada wazuri wazuri la mwanzoni kabisa.Oh wow! That was you! Nashukuru wangu..kwanza kwa kuja..na pili kwa kuitikia wito. Wateja wetu ni kila kitu kwetu. Thank you for the support.
Unatukumbuka? Tulikua wadada watatu. Mie mdau wako mkubwa sana wa nyama na ni rafiki wa Franklin pia your brother. Nyama choma ya mwezi wa nne tulichukua banda kwako na my friends banda flan lilikua na wadada wazuri wazuri la mwanzoni kabisa.
Nilikua na rafiki zangu wawili bby usipate wivu sawa eeh.Huyu binti ana kipaji sana hata mimi nilikuwa mfatiliaji mkubwa wa kipindi cha siasa za siasa kwakweli nilikuwa disspointed alipokatisha kile kipindi.....
Mzigua90 ulikuwa na nani siku hiyo maana hapa wivu umenishika sidhani kama sitalazwa....
hahahahaha
Nakukubali kinoma mama japokuwa hujawahi nijibu Dm yangu ila haibadili chochote.
Nkwiitikisie mamuni.
Yani ile mvua ilitukomesha. Banda letu tu ndo maji hayakutusumbua sana na watu walikua wanakuja sababu wanaona wadada. Tunashukuru Mungu hatukupata hasara japo mazingira hayakua rafiki.Kama ni mwezi 4 basi nikupe pole na ile mvua kubwa sana iliyo tukutua siku ile.
Yani ile mvua ilitukomesha. Banda letu tu ndo maji hayakutusumbua sana na watu walikua wanakuja sababu wanaona wadada. Tunashukuru Mungu hatukupata hasara japo mazingira hayakua rafiki.
HahahahaaNakukubali kinoma mama japokuwa hujawahi nijibu Dm yangu ila haibadili chochote.
Nkwiitikisie mamuni.
Tulishapoa. This time tutakuja tena kuchukua banda inshallah.Dah..poleni sana kwa kweli..
Ok,Pole...siyo mwisho saa 6?Absolutely. Changamoto kubwa sasa hivi ni uwanja, Leaders mwisho saa 2 usiku, tumejaribu Tanganyika Packers but bado logistics za pale pia zina changamoto. We are still searching ndio maana imebidi tufanye from June.
Ok,Pole...siyo mwisho saa 6?
Hili la Leaders sisi wadau tutalipigia kelele bila shaka soon mambo yatabadilika nafikiri hii ni changamoto kubwa sana tena sana.....mimi nilifikiri mwisho ni saa 6.
Instagram.Nashukuru wangu..DM wapi tena?
Umeanza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi mama naacha.Umeanza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]