Carrymastory kuwashambulia watu mtandaoni bila kuwa na ulinzi unahatarisha usalama wako

Mi sio mzuri ila huwezi nikatalia nikikuvulia nguo kwanza hata kabla sijavua utanitamani. Sema mdada wa watu wala sio mbaya wa kiasi cha kusema mtu hadindishi akimvulia nguo
Afu we Mzigua wewe daaah!!
 
Mkuu mi kwa shape na sura namkubali pia,watu tunatofautiana aiseee ila mi namkubali kwa sura na hiyo shape yake
JF Raha Sana.,...eti kabaya! Kama anafanana na hio picha kwangu mimi ni mrembo sanaaaa
 
Mi sio mzuri ila huwezi nikatalia nikikuvulia nguo kwanza hata kabla sijavua utanitamani. Sema mdada wa watu wala sio mbaya wa kiasi cha kusema mtu hadindishi akimvulia nguo
Mzigua inaelekea umenona Sana mashallwah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…