matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ukiona katuni inatungwa na PHD holders ujue si ya kitoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiziangalia cartoon Simpson kwa umakini unakuwa umechungulia future...mule huwa kuna madesa kibao ya future.Tunatoka mwaka 2023, tunaingia mwaka 2024. Huu ni mwaka ambao hao watawala wa dunia hii wanakwenda kufanya mambo makubwa sana, wanasema haijawahi kutokea. Kutakuwa na matukio makubwa ya vifo, hasa kwa viongozi wakubwa, kutakuwa na mambo mengi mabaya kuliko miaka mingine.
Nilikuwa naangalia katuni ya Simpsons, wameweka mambo mengi sana ambayo yanakwenda kutokea mwaka huo. Kwa kawaida hawa watu wakitaka kufanya mambo yao huwa hawafanyi kwa siri, ni lazima wakupe taarifa, ila taarifa zao huwa zinakuwa na mafumbo mengi mno.
Ishu za Balenciaga, Google, Youtube kumilikiwa na mawakala wa shetani hata katuni hizo zimeonyesha, ila huwezi kugundua mpaka uambiwe, manake zinakuwa zimejaa mafumbo mengi.
Kwenye katuni yenye maunabii yao basi ni hiyo. Niwakumbushe tu kwamba hiyo katuni imeanza kutengenezwa na jamaa ambaye ni Freemason, na kwa sababu dunia ipo kiganjani mwao na wao ndiyo wanaopanga matukio, wanaelezea kila kitu kinachokwenda kutokea.
Walitoa utabiri wa kuzama wa Submersible Titan kale kakifaa ka watalii walioenda kutizama meli ya Titanic chini ya bahari wakapotea, Walitoa utabiri wa kifo cha Kobe Bryant kwa helkopta, wakaja wakatoa ya Trump kuwa rais wa Marekani, wakaonyesha mpaka hiyo ya earth firmanent jinsi inavyokuwa inailinda dunia na hakuna mtu kutoka humo, yaani walionyesha kila kitu, video nitazitafuta nizione.
Hawa majamaa wanatoa meseji zao kwa mafumbo makubwa, wanamuiga Mungu kwa namna alivyoongea kimafumbo kwenye vitabu vya dini. Taarifa zote wanazotoa huwa na mafumbo.
Hata ukiangalia muvi, wanaweka sana symbol zao lakini huwezi kuziona kwa haraka, huwa zinapita tu, ile inaonyesha kwamba hata Hollywood ni mali yao pia.
Mwaka 2024 washikaji wanausubiri sana kwa sababu wana maunabii yao mengi waliyaweka na mwaka huo yanakwenda kutokea. Utakuwa ni mwaka wa matukio makubwa, utakuwa ni mwaka ambao inawezekana hujawahi kuhushudia kwenye maisha yako, ni mwaka ambao wameuwekea viporo vingi sana, na inawezekana kuna mengi yatakwenda kukushangaza.
Sitaki kuyataja hayo maunabii yao ya mwaka huu wa 2024 kwa sababu moja tu, bado hamjajua wapi pa kushikilia. Kwa vitabu vya Mungu ama vitabu vya wanasayansi!!!!
View attachment 2852514
inapatikana channel ganiTunatoka mwaka 2023, tunaingia mwaka 2024. Huu ni mwaka ambao hao watawala wa dunia hii wanakwenda kufanya mambo makubwa sana, wanasema haijawahi kutokea. Kutakuwa na matukio makubwa ya vifo, hasa kwa viongozi wakubwa, kutakuwa na mambo mengi mabaya kuliko miaka mingine.

Kwamba tutakuwa mazombi amaKama sio solar storm that will shut down the internet for months basi itakua civil war( world war 3) , au Zombie apocalypse.
Trump au beyonce watafariki 2024/2025.
Haa Hata MimiSjui mwanini,
Sijawai kuvutiwa kuangalia katuni
Saiz Matetemeko na tsunami za kutengeneza zipo.Matukio ya hii Dunia yanaweza kutengenezwa na Mwanadamu labda Tsunami na Matetemeko ndio haiwezekani kuyatabiri.
Unalengenezaje tetemeko la 9.0 Nci kavu?Saiz Matetemeko na tsunami za kutengeneza zipo.
Mwaka ujao utaona mengi, so many will die.
Waliookoka Wana Kinga Yao Yesu Kristo.
Okoka pia nawe.
Hivyo vifaa vipo,Unalengenezaje tetemeko la 9.0 Nci kavu?
Nuclear weapons labda.Hivyo vifaa vipo,
Marekani wanavyo. 2024 utaona usoyategemea.
Bwana Yesu tunaomba atuokoeSaiz Matetemeko na tsunami za kutengeneza zipo.
Mwaka ujao utaona mengi, so many will die.
Waliookoka Wana Kinga Yao Yesu Kristo.
Okoka pia nawe.
Ni kweli dar es salaam itaangamia April 2024?Hivyo vifaa vipo,
Marekani wanavyo. 2024 utaona usoyategemea.
Ehee, tunaipataje hiyo katuni tuichungulie future?Tunatoka mwaka 2023, tunaingia mwaka 2024. Huu ni mwaka ambao hao watawala wa dunia hii wanakwenda kufanya mambo makubwa sana, wanasema haijawahi kutokea. Kutakuwa na matukio makubwa ya vifo, hasa kwa viongozi wakubwa, kutakuwa na mambo mengi mabaya kuliko miaka mingine.