Cartoon ya The Simpsons na utabiri wa 2024

Cartoon ya The Simpsons na utabiri wa 2024

Ingia U-Tube, Nabii Sanga , POG family Tv, Nabii Boniface victor, UNYAKUO TV, Mwalimu Tengwa , Tengwa Tv.

Pitia, Kuna same message kuhusu Nchi yetu.
Wapi bhana wewe wenzako akina kakobe miaka ya 2000 walitabiri utakuwa mwisho wa dunia ! Kiko wapi?
Hebu tumieni akili nyie watu maana akili zenu zote zimeshikwa na manabii
 
Hivi Sasa Ile katuni ilivyo ya kifara vile Kuna mtu mzima ataangalia na kikawaida watoto ndo upenda sana katuni Sasa ayo mautabiri wamewawekea watoto? Awaoni kama watakua wamepoteza mda tu other ways wangechagua cartoon zenye uhalisia kidogo lakini sio vile vikaragosi
Wazungu sio wajinga, wenzako wako mbele ya muda... Hawawezi kukuwekea utabiri kwenye jambo ambalo utaligundua haraka, ndio maana matukio ya utabiri yanawekwa kwenye video ambazo hazitazamwi sana... Badae ikitokea ndio mnaenda kurudia kutizama.... Sasa wewe unataka uwekewe kwenye video za uhalisia hili uwe unakesha ukitazama
 
Hawa jamaa kuna fumbo ktk hii picha ..ili dunia ifunikwe hivyo means dunia sio duara tena ni flat
 

Attachments

  • 1703506141826.jpg
    1703506141826.jpg
    32.3 KB · Views: 18
Kama sio solar storm that will shut down the internet for months basi itakua civil war( world war 3) , au Zombie apocalypse.
Trump au beyonce watafariki 2024/2025.
Mhhh I wasn’t so far from the truth, God help us all kuelekea 2025
 
Back
Top Bottom