Cartoon ya The Simpsons na utabiri wa 2024

Kama sio solar storm that will shut down the internet for months basi itakua civil war( world war 3) , au Zombie apocalypse.
Trump au beyonce watafariki 2024/2025.
Watajaribu hili la kuzima internet duniani kote waone mtaishije, uchumi lazima ucheze ajali na matukio mengine yataanzia hapo.
 
Ni kweli dar es salaam itaangamia April 2024?
Ni may 1.

Mwaka ujao ni patashika, Si dar pekee Kuna mengi yatatokea.

Na ukiona mtumishi anatoa ujumbe hatari kiasi hicho bila kuogopa mamlaka, Si wa kupuuza.

Vita ya Dar ni kati ya Mungu na miungu, ni vyema WANADAMU wakaondoka uwanja wa vita.

Sababu muda Bado, ni kukaa Kwa kusikilizia, ikibidi unasafuri kdg muda huo ukifika.
 
Eeeh mbn unanitisha mkuu ?
 
Eeeh mbn unanitisha mkuu ?
Sikutishi,

Haya mambo yameruhusiwa, soma Mathayo 24 yote, ndio wakati halisi wa kutimia hayo.

Kuhusu mafuriko, baada ya ujumbe huo Kutoka, nami niliingia katika maombi kuuliza, na nilijibiwa kuwa ndivyo ilivyo.

Na ukiona Mungu amemleta ujumbe wazi WAZI, jua anawapenda sana, na mkifuata masharti ya Nabii aliyeleta ujumbe, Mungu anaweza kubatilisha yasitokee.

Shida ni ugumu wa mioyo ya watu kupuuzia.
 
Huu ujumbe umetolewa wapi?? As in mtumishi yupi?
 
Vipi haijatabiri ya papa na kubariki wapenzi wa jinsia moja? Ya hamas na israel/ukraine na urusi? Vipi kuhusu uchumi wa dunia hali itakuaje?
Ipo hii hapa inaitwa "A guide rough to hell" ya 2012
20121222_WOP901.png
 
Ni may 1.

Mwaka ujao ni patashika, Si dar pekee Kuna mengi yatatokea.

Na ukiona mtumishi anatoa ujumbe hatari kiasi hicho bila kuogopa mamlaka, Si wa kupuuza.

Vita ya Dar ni kati ya Mungu na miungu, ni vyema WANADAMU wakaondoka uwanja wa vita.

Sababu muda Bado, ni kukaa Kwa kusikilizia, ikibidi unasafuri kdg muda huo ukifika.
Nyie walokole akili zenu sijui nani amezichukua eti"(""Vita ya Dar ni kati ya Mungu na miungu)
Nawasikitikia sana Mungu aache kuyapa mapigo miji inayoongoza kwa uovu marekani na ulaya aje kuleta vita dar!!!😁
Watu wengi waliokuwa walokole ni wale wasio soma na masikini
 
Back
Top Bottom