Cartoon ya The Simpsons na utabiri wa 2024

Ukiziangalia cartoon Simpson kwa umakini unakuwa umechungulia future...mule huwa kuna madesa kibao ya future.
Kama.masikhara waliwahi kutengeneza hii cartoon wakati hakuna mtu anayewaza hata kwa bahati mbaya kuwa Trump atakuja kugombea urais. Walitabiri atasimama sehemu kama ile akipungie vile na ikawa

Wakaenda mbali zaidi
 
inapatikana channel gani
 
inapatikana channel gani
 
Kama sio solar storm that will shut down the internet for months basi itakua civil war( world war 3) , au Zombie apocalypse.
Trump au beyonce watafariki 2024/2025.
Kwamba tutakuwa mazombi ama
 
Ehee, tunaipataje hiyo katuni tuichungulie future?
 
Hivi Sasa Ile katuni ilivyo ya kifara vile Kuna mtu mzima ataangalia na kikawaida watoto ndo upenda sana katuni Sasa ayo mautabiri wamewawekea watoto? Awaoni kama watakua wamepoteza mda tu other ways wangechagua cartoon zenye uhalisia kidogo lakini sio vile vikaragosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…