Mtalii mweusi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 227
- 357
Watajaribu hili la kuzima internet duniani kote waone mtaishije, uchumi lazima ucheze ajali na matukio mengine yataanzia hapo.Kama sio solar storm that will shut down the internet for months basi itakua civil war( world war 3) , au Zombie apocalypse.
Trump au beyonce watafariki 2024/2025.
Waliochomwa vaccine ya covid-19, au wanyama kama deers wataambukiza huo uzombi binadamuKwamba tutakuwa mazombi ama
AiseeWaliochomwa vaccine ya covid-19, au wanyama kama deers wataambukiza huo uzombi binadamu
Ni may 1.Ni kweli dar es salaam itaangamia April 2024?
Sasa ww mtu wa makete utaelewa kitu kweli!?Mi sijaelewa kabisa.
Unawapangia!!??Hivi Sasa Ile katuni ilivyo ya kifara vile Kuna mtu mzima ataangalia na kikawaida watoto ndo upenda sana katuni Sasa ayo mautabiri wamewawekea watoto? Awaoni kama watakua wamepoteza mda tu other ways wangechagua cartoon zenye uhalisia kidogo lakini sio vile vikaragosi
Eeeh mbn unanitisha mkuu ?Ni may 1.
Mwaka ujao ni patashika, Si dar pekee Kuna mengi yatatokea.
Na ukiona mtumishi anatoa ujumbe hatari kiasi hicho bila kuogopa mamlaka, Si wa kupuuza.
Vita ya Dar ni kati ya Mungu na miungu, ni vyema WANADAMU wakaondoka uwanja wa vita.
Sababu muda Bado, ni kukaa Kwa kusikilizia, ikibidi unasafuri kdg muda huo ukifika.
Tsunami kama liko bomu la kuswaga mawimbi kwa kasi ile ile ya Tsunami unasemaje haiwezekani.Matukio ya hii Dunia yanaweza kutengenezwa na Mwanadamu labda Tsunami na Matetemeko ndio haiwezekani kuyatabiri.
Sikutishi,Eeeh mbn unanitisha mkuu ?
Kuna teknolojia ya kumanipulate hali ya hewa inaitwa HAARP.Tsunami kama liko bomu la kuswaga mawimbi kwa kasi ile ile ya Tsunami unasemaje haiwezekani.
Huu ujumbe umetolewa wapi?? As in mtumishi yupi?Sikutishi,
Haya mambo yameruhusiwa, soma Mathayo 24 yote, ndio wakati halisi wa kutimia hayo.
Kuhusu mafuriko, baada ya ujumbe huo Kutoka, nami niliingia katika maombi kuuliza, na nilijibiwa kuwa ndivyo ilivyo.
Na ukiona Mungu amemleta ujumbe wazi WAZI, jua anawapenda sana, na mkifuata masharti ya Nabii aliyeleta ujumbe, Mungu anaweza kubatilisha yasitokee.
Shida ni ugumu wa mioyo ya watu kupuuzia.
Kutakua na nn may 1Eeeh mbn unanitisha mkuu ?
Hujasikia? Wanasema kuanzia April mwakani dar yote itakumbwq na mafuriko makubwa mnoKutakua na nn may 1
Ingia U-Tube, Nabii Sanga , POG family Tv, Nabii Boniface victor, UNYAKUO TV, Mwalimu Tengwa , Tengwa Tv.Huu ujumbe umetolewa wapi?? As in mtumishi yupi?
Ipo hii hapa inaitwa "A guide rough to hell" ya 2012Vipi haijatabiri ya papa na kubariki wapenzi wa jinsia moja? Ya hamas na israel/ukraine na urusi? Vipi kuhusu uchumi wa dunia hali itakuaje?
Nyie walokole akili zenu sijui nani amezichukua eti"(""Vita ya Dar ni kati ya Mungu na miungu)Ni may 1.
Mwaka ujao ni patashika, Si dar pekee Kuna mengi yatatokea.
Na ukiona mtumishi anatoa ujumbe hatari kiasi hicho bila kuogopa mamlaka, Si wa kupuuza.
Vita ya Dar ni kati ya Mungu na miungu, ni vyema WANADAMU wakaondoka uwanja wa vita.
Sababu muda Bado, ni kukaa Kwa kusikilizia, ikibidi unasafuri kdg muda huo ukifika.