Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Wapi bhana wewe wenzako akina kakobe miaka ya 2000 walitabiri utakuwa mwisho wa dunia ! Kiko wapi?Ingia U-Tube, Nabii Sanga , POG family Tv, Nabii Boniface victor, UNYAKUO TV, Mwalimu Tengwa , Tengwa Tv.
Pitia, Kuna same message kuhusu Nchi yetu.
kuna ujumbe wowote kuhusu huyu mpaka hinna?Ingia U-Tube, Nabii Sanga , POG family Tv, Nabii Boniface victor, UNYAKUO TV, Mwalimu Tengwa , Tengwa Tv.
Pitia, Kuna same message kuhusu Nchi yetu.
Wazungu sio wajinga, wenzako wako mbele ya muda... Hawawezi kukuwekea utabiri kwenye jambo ambalo utaligundua haraka, ndio maana matukio ya utabiri yanawekwa kwenye video ambazo hazitazamwi sana... Badae ikitokea ndio mnaenda kurudia kutizama.... Sasa wewe unataka uwekewe kwenye video za uhalisia hili uwe unakesha ukitazamaHivi Sasa Ile katuni ilivyo ya kifara vile Kuna mtu mzima ataangalia na kikawaida watoto ndo upenda sana katuni Sasa ayo mautabiri wamewawekea watoto? Awaoni kama watakua wamepoteza mda tu other ways wangechagua cartoon zenye uhalisia kidogo lakini sio vile vikaragosi
hivyo sio wiki moja tenaKama sio solar storm that will shut down the internet for months basi itakua civil war( world war 3) , au Zombie apocalypse.
Trump au beyonce watafariki 2024/2025.
Mhhh I wasn’t so far from the truth, God help us all kuelekea 2025Kama sio solar storm that will shut down the internet for months basi itakua civil war( world war 3) , au Zombie apocalypse.
Trump au beyonce watafariki 2024/2025.
Huoston wana kama 3 weeks bila internet ya uhakika, hata sisi yale yalikua majaribio….hivyo sio wiki moja tena
Huu ni mwezi wa kumi na moja tunakula maishaNi kweli dar es salaam itaangamia April 2024?
Ha ha ha haHuu ni mwezi wa kumi na moja tunakula maisha