Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mzee wa kucheza mchiriku na mkataba wa kagoma!!Mwanasheria wa Yanga a.k.a Mandonga wa sheria anaenda kulambishwa mchanga kwa mara nyingine ya kumi na moja🤣😂
Kama wewe ni mbumbumbu kama alivosema Rage utaelewa vipHabari yenyewe mbona Iko kipande?
Simba wajibu nini? Maana tungeona Simba wanachotakiwa kujibu, labda mjadala ungekuwa wa maana.
Kwa hivi habari ilivyoletwa, ni utopolo mtupu kujadili.
Kama wewe ni mbumbumbu kama alivosema Rage utaelewa bipHabari yenyewe mbona Iko kipande?
Simba wajibu nini? Maana tungeona Simba wanachotakiwa kujibu, labda mjadala ungekuwa wa maana.
Kwa hivi habari ilivyoletwa, ni utopolo mtupu kujadili.
Mpanzu naye ni mchezaji?Mnataka point tatu na hamjamkaba Mpanzu. Anyway suala la CAG tumesha lisahau. Poor Tanganyika.
Sasa hapo cha kujadili ni hao wadaawa walioandikwa? Maana nini wanatakiwa wajibu hakijawekwa!Kama wewe ni mbumbumbu kama alivosema Rage utaelewa vip
Mkabeni kwanza ndio mpate point, hizo zingine ni tatarira tu. Morison, kagoma, fei 😁Kama wewe ni mbumbumbu kama alivosema Rage utaelewa bip
Mpanzu naye ni mchezaji?
Dabi itarudiwa na mtacheza tuMoto utawaka
Acha TFF, bodi ya ligi na mambumbumbu
Acha aibu iwapate
Soma paragraph ya pili Kisha uulize tenaSasa hapo cha kujadili ni hao wadaawa walioandikwa? Maana nini wanatakiwa wajibu hakijawekwa!
Ni jambo lililowazi mgogoro unahusiana na wao Simba kugomea mchezo wa tarehe 8, ukumbuke Simba walitoa taarifa kwa umma kwa kuiandikia bodi barua iliyo wasilishwa bodi ya ligi.Habari yenyewe mbona Iko kipande?
Simba wajibu nini? Maana tungeona Simba wanachotakiwa kujibu, labda mjadala ungekuwa wa maana.
Kwa hivi habari ilivyoletwa, ni utopolo mtupu kujadili.
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbuDabi itarudiwa na mtacheza tu
Leo ni siku ya wajinga. Kujadili barua isiyo na mashitaka ni ujinga!Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu