CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

redio kilichowekwa hapo kinaeleza chochote kuhusu Yanga wanataka nini hasa? Nimesoma chote nimeona kinaelezea tu jinsi CAS inavyofanya kazi.

Sasa nini hasa Yanga wanalalamika Kiko wapi? Maelezo uliyotoa hayapo kwenye hicho kilichowekwa au lah wewe ndiyo uwe mwanasheria wa Yanga kwa ivo unajua mlichopeleka CAS.
Simba, TFF na Bodi wakiona inafaa wataweka wazi nini kinacho pelekea wao kuitwa kwenye shauri ilo.
 
Huwa haiwi hivyo. Ukishasajili kesi inakuwa ni mali ya umma. Huwezi kusajili kesi bila ya kuweka mashitaka.

Aliyebuni hii barua kwa ajili ya siku ya wajinga alisahau kuweka mambo muhimu ya kisheria angalau ionekane Ina uhalali fulani.

Ila kafanikiwa kuwapata utopolo!
 
Yes. Na ndiyo maana barua isiyo na mbele Wala nyuma imeletwa hapa ili tuijadili bila ya kuwa na mashiko!
Uwelewa wako wewe kwasasa ndio hauna mashiko na ndio nyinyisasa mnasababisha serikali ifikirie wahitimu wa degree waende wapitie VETA.
Iyo ni taarifa ya kawaida ya mfumo wa ki mahakama kwa wahusika lakini hakuna ulicho elewa.
Nahisi ata uwelewa wako una shida, ebu soma iyo paragraph inayo nukuu malalamiko ya Yanga yame pelekwa CAS kulalamikia eneo gani limehusika katika hujuma iyo ya kughairisha mchezo.
 
CAS wawape Young Point 3 na Goli 3 ili uhuni wa MAKOLO ufike mwisho ,kama timu yao ilikuwa na majeruhi wengi wangeandika barua mapema sana kuomba kughairisha mechi kuliko kuwatia hasara wafanyabiashara.
 
Uwelewa wako wewe kwasasa ndio hauna mashiko na ndio nyinyisasa mnasababisha serikali ifikirie wahitimu wa degree waende wapitie VETA.
Iyo ni taarifa ya kawaida ya mfumo wa ki mahakama kwa wahusika lakini hakuna ulicho elewa
Kisheria hiyo barua unaiitaje? Wito wa kimahakama, nakala ya shtaka au ni nini?

Leo siku ya wajinga na watu wa vidimbwini wamenaswa na mtego wa hii barua feki!
 
Hii ndiyo Tanzania, hizo habari za Simba na Yanga zinapata mileage kubwa kwenye Vyombo vyetu vya habari kuliko habari zilizobeba hatma ya kesho ya Vijana wetu 🙌
 
CAS wawape Young Point 3 na Goli 3 ili uhuni wa MAKOLO ufike mwisho ,kama timu yao ilikuwa na majeruhi wengi wangeandika barua mapema sana kuomba kughairisha mechi kuliko kuwatia hasara wafanyabiashara.
Ukiachana na utopolo wa hii barua feki. Hakuna mahakama duniani inayoweza kuipa Yanga Pointi 3 dhidi ya Simba.

Na Yanga ikithubutu kwenda CAS Simba itapata ushindi wa mechi kurudiwa. Yanga waendelee tu kuwatishia nyau Bodi ya Ligi na TFF maana Yanga wanategemea CCM kutishia taasisi nyingine.
 
Kijana wa Rage.
 
Kweli leo ni tarehe 1/4 siku ya wajinga Duniani lakini Tff, Bodi ya Ligi na Simba nilazima watatoa taarifa Kila taasisi kwa wakati wake kwakua ilo si jambo la Siri.

Ruling yake ikitoka wata wataueleza nini ummma wakati hawakusema kama walishtakiwa.

Tff, bodi na Simba wana nafasi ya kutoa taarifa kwamba barua iyo inayo trend Mitandaoni ni uzushi na wao haiwahusu, imeandikwa kwa mantik ya siku ya wajinga Duniani.
 
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025.

Soma: Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

Baada ya kupokea taarifa hiyo, CAS imewapa walalamikiwa—TFF, TPLB na Simba—siku 10 kuanzia tarehe ya kupokea taarifa hiyo ili kuandaa na kuwasilisha utetezi wao.

Kesi hiyo itasikilizwa kwa haraka chini ya kumbukumbu namba CAS 2025/A/11298 huku pande zote zikitarajiwa kuwasilisha vielelezo na hoja zao ndani ya muda uliopangwa.

Klabu ya Yanga itawakilishwa na timu ya Wanasheria wafuatao;

1. Alex Mgongolwa
2. Simon Patrick
3. Juma Nassoro
4. Respicius Didace
5. Kalaghe Rashid

Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) pia imetaka Simba SC, TFF, TPLB nao kuwasilisha wawakilishi wao Kisheria wakati Kesi ikianza kusikilizwa rasmi.

Pia, Soma
Hivi hawa Yanga nilidhani alichosema Manara ni Utopolo kumbe ni utopolo kweli kweli alimaanisha
IMG_20250330_155626.JPG
Hiyo kesi mbona wameenda kujidhalilisha na kujidhihilisha HAWANA AKILI.
 
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025.

Soma: Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

Baada ya kupokea taarifa hiyo, CAS imewapa walalamikiwa—TFF, TPLB na Simba—siku 10 kuanzia tarehe ya kupokea taarifa hiyo ili kuandaa na kuwasilisha utetezi wao.

Kesi hiyo itasikilizwa kwa haraka chini ya kumbukumbu namba CAS 2025/A/11298 huku pande zote zikitarajiwa kuwasilisha vielelezo na hoja zao ndani ya muda uliopangwa.

Klabu ya Yanga itawakilishwa na timu ya Wanasheria wafuatao;

1. Alex Mgongolwa
2. Simon Patrick
3. Juma Nassoro
4. Respicius Didace
5. Kalaghe Rashid

Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) pia imetaka Simba SC, TFF, TPLB nao kuwasilisha wawakilishi wao Kisheria wakati Kesi ikianza kusikilizwa rasmi.

Pia, Soma
Simba SC nipeni kazi ya kuwawakilisha kwenye hiyo kesi tukawafundishe sheria hao wazee wa kulia lia
 
Jibu ni moja tu sababu za kiusalama zilifanya mchezo uhairishwe watao na clip chache za video then yanga wanarudi na mwiko wao nyuma
Kutambua vitisho vya usalama ni taaluma na kazi ya police 🚓
Sio bodi ya ligi
 
Moto utawaka
Acha TFF, bodi ya ligi na mambumbumbu
Acha aibu iwapate
Si mara ya kwanza Yanga kushtaki CAS au kushtakiwa CAS, hasa na wachezaji na makocha. Hukumu zote zilizotoka aliyepata aibu anajulikana
 
Back
Top Bottom