Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
SIKU YA WAJINGA DUNIANI
Mbona professor Majalalani hajatajwa 🤣🤣Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025.
Soma: Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni
Baada ya kupokea taarifa hiyo, CAS imewapa walalamikiwa—TFF, TPLB na Simba—siku 10 kuanzia tarehe ya kupokea taarifa hiyo ili kuandaa na kuwasilisha utetezi wao.
Kesi hiyo itasikilizwa kwa haraka chini ya kumbukumbu namba CAS 2025/A/11298 huku pande zote zikitarajiwa kuwasilisha vielelezo na hoja zao ndani ya muda uliopangwa.
Klabu ya Yanga itawakilishwa na timu ya Wanasheria wafuatao;
1. Alex Mgongolwa
2. Simon Patrick
3. Juma Nassoro
4. Respicius Didace
5. Kalaghe Rashid
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) pia imetaka Simba SC, TFF, TPLB nao kuwasilisha wawakilishi wao Kisheria wakati Kesi ikianza kusikilizwa rasmi.
Pia, Soma
Usikariri maisha na Kila siku sio jumapili Kaa kwa kutulia!Yanga hashindi hii Kesi,akishinda mimi nipigwe ban maisha huku JF
Today is a foolish day 😂😂Ngoma inogile
Kwaiyo cas wamepokeaje malalamiko yasiyo na mashtaka? Kawaulize cas juu ya mashtaka ya yanga watakujibu sio sisiLeo ni siku ya wajinga. Kujadili barua isiyo na mashitaka ni ujinga!
Umesoma kilichowekwa? Kisome kimantiki halafu tuijadili.Kwaiyo cas wamepokeaje malalamiko yasiyo na mashtaka? Kawaulize cas juu ya mashtaka ya yanga watakujibu sio sisi
SawaaaaSimba SC nipeni kazi ya kuwawakilisha kwenye hiyo kesi tukawafundishe sheria hao wazee wa kulia lia
Today is a foolish day enjoy it 😂Mbumbumbu mna siku yenu
Mnavunja kanuni kwa maksudi mnataka yanga watumie "uungwana" kwani mpira wa Tanzania unaongozwa kwa uungwana na busara badala ya kanuni!?Hizo gharama mnazotumia lengo tu mpewe point 3? Mpira ni burudani wanachama wanahitaji burudani kwann msitumie uungwana tu mechi ipangwe upya na ichezwe kuliko gharama ya fedha, muda mnaotumia huko CAS?
Hili na uhakika nalo asilimia 100Usikariri maisha na Kila siku sio jumapili Kaa kwa kutulia!
Mbumbumbu Leo mtaropokwa maneno ya kutoshaSi mara ya kwanza Yanga kushtaki CAS au kushtakiwa CAS, hasa na wachezaji na makocha. Hukumu zote zilizotoka aliyepata aibu anajulikana
Ukiacha ushabiki wa usimba na Yanga kile utakachokiwaza baada ya hapo ndio akili Yako halisi.Mnavunja kanuni kwa maksudi mnataka yanga watumie "uungwana" kwani mpira wa Tanzania unaongozwa kwa uungwana na busara badala ya kanuni!?
Umesoma hiyo barua attached au lugha boss??Habari yenyewe mbona Iko kipande?
Simba wajibu nini? Maana tungeona Simba wanachotakiwa kujibu, labda mjadala ungekuwa wa maana.
Kwa hivi habari ilivyoletwa, ni utopolo mtupu kujadili.
Nakingereza kipi yes no? Unafikiri kitatumika kiswahili.Simba SC nipeni kazi ya kuwawakilisha kwenye hiyo kesi tukawafundishe sheria hao wazee wa kulia lia