CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

Nafanya PhD Programme on Risk Management. Mambo yakienda vizuri namaliza mwakani.
Swali y?
Kama unaamini Mungu basi Mungu wako akuwezeshe ufanikishe malengo Yako, ujiletee manufaa kwako binafsi, familia yako na taifa lako kwa ujumla.
Unavyojiita mtoto wa shule huoni kuwa hoja zako nyingi zinasadifu jina lako hasa huku kwenye michezo?
Hujawahi kufikiria kulibadilisha?
 
Habari yenyewe mbona Iko kipande?

Simba wajibu nini? Maana tungeona Simba wanachotakiwa kujibu, labda mjadala ungekuwa wa maana.

Kwa hivi habari ilivyoletwa, ni utopolo mtupu kujadili.
Wajibu kwanini hawakucheza na kwanini Yanga wasipewe point tatu na goli zake.
 
Bhaaasi umeeleweka.
 
Sina mpango wa kubadilisha jina langu. Mimi ni "Mtoto wa Shule"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…