CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

Ni ama udai pwenti 3 za mezani au udai urudishiwe gharama zako za maandalizi ila vyote viwili haviwezi kwenda pamoja.
We ni mgumu kuelewa
Nimekwambia alama 3 na magoli 3 ya kikanuni sio Nia ya Yanga kuandaa timu

Yanga anaandaa timu ili acheze mechi bila kujali kama atashinda, sare, au kupoteza mchezo

Gharama Yanga anazodai ni hizo Kwa bodi ya ligi walishirikiana na Simba kuhujumu mchezo na kukimbia mechi
 
Ukiona mke wako, ndugu yako ugonvi kidogo tuu anakimbilia polisi ujue huyo unaishi na nyoka. Kila kitu kinachofanyika ndani ya nchi Kuna local remedy kwa mtu aliyekuwa aggrieved. Kitendo Cha kukimbilia mahakama za nje ni ku expose nchi yetu na kuruhusu taasisi au watu wa nje watujadili. Kwenye uzalendo ni jambo la hovyo kabisa. Ukiunganisha dot kuwa wao ndio kisababishi kwa kutumia watu waliovimbewa vizazi wanaowaita makomandoo uchwara kwa Imani na hofu za kishirikina Sasa ndio hao hao wanapiga kelele za kuonewa. Hii ni sawa mke anakudunda ndani halafu anapiga yeye kelele kuwa unamuua
 
Ngoma inogile
Hapa patamu. Ndioo maana siku ile karia kidao mguto na ata waziri wametoka sura zikiwa hazina furraha maama kumbe walijua kuwa yanga wamedinda kiume. Patamu hapa....yaani yanga washikilie hapo hapo
 
Si mara ya kwanza Yanga kushtaki CAS au kushtakiwa CAS, hasa na wachezaji na makocha. Hukumu zote zilizotoka aliyepata aibu anajulikana
Huo ndio utetezii wako kwa CAS sio, upeleke wataupokea.
 
Mimi lawama zote nazielekeza Kwa meneja wa uwanja inakuwaje uwanja unalindwa na makomandoo wa Yanga badala ya walinzi wa uwanja
Uliisoma ile barua ya bodi ya ligi lakini?
 
Unazingua sana, kuwa mwanaume sio unakuwa legelege, si wewe ndo ulisema Yanga tulegeze ili derby ipigwe? Sasa hivi unajifanya unashangilia hatua hii ya Yanga huko CAS.
Na wewe ukaamini?
Hapo nilikuwa nawajaza mbumbumbu ili kuwapumbaza zaidi
 
Mnavunja kanuni kwa maksudi mnataka yanga watumie "uungwana" kwani mpira wa Tanzania unaongozwa kwa uungwana na busara badala ya kanuni!?

Nimependa hatua ya Yanga...italeta heshima na kuondoa uswahili kwenye soka letu.

Bado VAR tu sasa wafunge VAR msimu wa 2025/26 iwe ni fair bin fair. Hatutaki janjajanja.

Namungo anaweza kuwa bingwa wa ligi kuu. Kanuni zikifuatwa.
Umenena vema ndugu.
 
Hapa patamu. Ndioo maana siku ile karia kidao mguto na ata waziri wametoka sura zikiwa hazina furraha maama kumbe walijua kuwa yanga wamedinda kiume. Patamu hapa....yaani yanga washikilie hapo hapo
Tunajua mwisho wake ukoje wala sio patamu msipomtoa kafara yule wakili wenu kilaza sijui
 
Ukiona mke wako, ndugu yako ugonvi kidogo tuu anakimbilia polisi ujue huyo unaishi na nyoka. Kila kitu kinachofanyika ndani ya nchi Kuna local remedy kwa mtu aliyekuwa aggrieved. Kitendo Cha kukimbilia mahakama za nje ni ku expose nchi yetu na kuruhusu taasisi au watu wa nje watujadili. Kwenye uzalendo ni jambo la hovyo kabisa. Ukiunganisha dot kuwa wao ndio kisababishi kwa kutumia watu waliovimbewa vizazi wanaowaita makomandoo uchwara kwa Imani na hofu za kishirikina Sasa ndio hao hao wanapiga kelele za kuonewa. Hii ni sawa mke anakudunda ndani halafu anapiga yeye kelele kuwa unamuua
Hawana balls za kwenda CAS. Wanawachezesha shere mashabiki wao tu ili rungu la Bodi na TFF lisiwaangukie. Wameamua kuleta sintofahamu katika ligi baada ya uhuni waliofanya.
 
Na msemaji wao kumtukana Mkuu wa Mkoa. Kasema Chacha atachacha na litimu lake
Mie nikajua semaji ndo katoa kasambaza hili tangazo la TFF na bodi ya ligi kushitakiwa na utopwinyo huko CAS kumbe semaji lipo Kaliua kumtukana RC?

Ni nani aliyesambaza hili tangazo la utopwinyo kufikisha barua ya mashtaka huko CAS?

Ndio nimekumbuka sasa leo ni siku ya wajinga duniani 😂😂
 
Back
Top Bottom