29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,975
- 8,270
Gg kabisaaHii itakuwa gusa achia goli
Gg kabisaaHii itakuwa gusa achia goli
Ungeongelea suala la mabaunsa lililenga nini ningekuona wa maana. Vinginevyo ni mihemuko yako tu ya kishabiki.Makosa makubwa ya jamii yangu ya kibongo ni kuchukulia kirahisi masuala magumu na pia kukariri, hili suala la Simba kukimbia mechi ni zito tuwaase mbumbumbu waache kujibu kishabiki, Yanga imetumia gharama kubwa kujiandaa na derby hii ngoma haiwezi kuisha kipuuzi tu na kihuni.
Yanga ni brand kubwa lazima iheshimiwe, hebu ona msemaji wake Ally Kamwe kapokewa Tabora kama mfalme halafu wahuni wachache wanakuja kuleta utani.
Ni Bora kesi iamuliwe CAS na Yanga tushindwe kuliko kubariki uhuni wa msimbazi na bodi ya ligi maana watazoea.
Na hapo Bado, tukishindwa CAS tunaenda Fifa na huko nako wakishindwa tunaenda UEFA kuomba muongozo na kuwalazimisha watutetee Fifa, lazima pachimbike ili siku ingine makolo wasijaribu kukimbia mechi.
Yanga ubishi na kudai haki yetu ni asili yetu! Makolo wakumbuke hata saa mbovu hupatia majira!!
Yaani Simba wanashitakiwa kuwa walifanya nini? Maana walioahirisha mechi siyo wao.Simba sioni kama wana chochote Cha kijibu
MweeeeeeGg kabisaa
Sawa. Hapo nimekupataLabda Simba kama shahidi. Anaulizwa mfano;
CAS: Kwa nini haukwenda uwanjani?
Simba: Kwa sababu mechi ilihairishwa na TPBL.
Hapa kwa vyovyote vile mwenye kubeba dhamana kubwa katika kesi hiyo ni TBPL
Nilikuwa sijaiona hii barua hadi sasa hivi. Kuna upotoshaji umefanywa na mleta mada na hao vyura waliocharuka katika uzi huu. Sijajua labda shida ni kinyamwezi.Habari yenyewe mbona Iko kipande?
Simba wajibu nini? Maana tungeona Simba wanachotakiwa kujibu, labda mjadala ungekuwa wa maana.
Kwa hivi habari ilivyoletwa, ni utopolo mtupu kujadili.
Nilikuwa sijaiona hii barua hadi sasa hivi. Kuna upotoshaji umefanywa na mleta mada na hao vyura waliocharuka katika uzi huu. Sijajua labda shida ni kinyamwezi.
Waliopewa siku 10 ni Yanga wenyewe, wao ndiyo wameambiwa ndani ya siku 10 wawe wametuma viambatanisho na mambo mengine na wasipofanya hivyo ndani ya muda huo itachukuliwa kama wameondoa rufaa yao.
Kwa sasa nadhani umejua mbumbumbu ni nani, na wasio mbumbumbu ni wawili tuNa wewe ukaamini?
Hapo nilikuwa nawajaza mbumbumbu ili kuwapumbaza zaidi
Sahihi kabisaHuu ndo ukweli wenyewe kama barua ni ya kweli. Wameambiwa wapeleke mashitaka/madai rasmi na vielelezo vyao na kama wasipofanya hivyo ndani ya siku 10 kesi inakuwa imekufa kwa sheria za CAS.
Wakipeleka mashitaka/madai na vielelezo, wajibu mashitaka watapewa mashtaka husika na pia siku 20 kwa mjibu wa sheria kuandaa majibu ya utetezi na kuwasilishwa CAS.
Baada ya hapo ndo kuanza kwa kesi kusikilizwa.
Mjukuu wa RAGE katika ubora wako.Nikwambie kitu na ukitunze sana; Maamuzi ya CAS yatakuwa kati ya haya mawili na yote sio rafiki kwa Yanga;
a) Kwakuwa mechi haijachezwa, basi ichezwe kwenye "neutral ground".
b) Kwakuwa Yanga ndio walikuwa wenyeji na walishindwa kuwahakikishia usalama wageni (Simba), basi Yanga inanyang'anywa pointi tatu na magoli mawili na watalipia gharama za kesi!!!
Nimekaa hapa Msimbazi nasubiria majibu!
Rage ni babaangu. Sio babu.Mjukuu wa RAGE katika ubora wako.
Kwa vile huna akili,unaamini Simba atanyang'anywa pointi.Moto utawaka
Acha TFF, bodi ya ligi na mambumbumbu
Acha aibu iwapate
Hapo utagundua mshitaki kachanganyikiwa 😂Yaani Simba wanashitakiwa kuwa walifanya nini? Maana walioahirisha mechi siyo wao.
Tishio lipi la usalamaKwa vile huna akili,unaamini Simba atanyang'anywa pointi.
Ila akili wote nyie hamna.
Mmeleta tishio la usalama kwa wachezaji na kuwatoa mchezoni ,ninyi ndio mtaaibika
Huko ni wawili tu najua wewe sio kikwete au mzee manara .kwahiyo nawewe ni miongoni mwa kundi kubwa.CAS wawape Young Point 3 na Goli 3 ili uhuni wa MAKOLO ufike mwisho ,kama timu yao ilikuwa na majeruhi wengi wangeandika barua mapema sana .kuomba kughairisha mechi kuliko kuwatia hasara wafanyabiashara.
sio kweli ni siku ya wajinga leoMahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepokea rasmi rufaa iliyowasilishwa na Klabu ya Young Africans SC dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na Klabu ya Simba. Rufaa hiyo inahusiana na uamuzi uliotolewa na TPLB tarehe 8 Machi 2025.
Soma: Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni
Baada ya kupokea taarifa hiyo, CAS imewapa walalamikiwa—TFF, TPLB na Simba—siku 10 kuanzia tarehe ya kupokea taarifa hiyo ili kuandaa na kuwasilisha utetezi wao.
Kesi hiyo itasikilizwa kwa haraka chini ya kumbukumbu namba CAS 2025/A/11298 huku pande zote zikitarajiwa kuwasilisha vielelezo na hoja zao ndani ya muda uliopangwa.
Klabu ya Yanga itawakilishwa na timu ya Wanasheria wafuatao;
1. Alex Mgongolwa
2. Simon Patrick
3. Juma Nassoro
4. Respicius Didace
5. Kalaghe Rashid
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) pia imetaka Simba SC, TFF, TPLB nao kuwasilisha wawakilishi wao Kisheria wakati Kesi ikianza kusikilizwa rasmi.
Pia, Soma
Muwambieni Hao CAS kuwa Simba haina cha kujibuHabari yenyewe mbona Iko kipande?
Simba wajibu nini? Maana tungeona Simba wanachotakiwa kujibu, labda mjadala ungekuwa wa maana.
Kwa hivi habari ilivyoletwa, ni utopolo mtupu kujadili.