wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu, humheshimu mwanaume kwa hiari, hawana tamaa ya mali, n.k.
Nina katabia kabovu sana ka kupenda kuchungulia magrupu ya wanawake, hata huko huwa naona wekiwasemwa hivyo japo wenzao huwaona ni ushamba katika dunia ya sasa, niliwahi kuiona comment "kumnyenyekea mwanaume nimeshindwa, nimemwachia rafiki yangu mnyalukolo yani hata mme wake akichelewa kurudi basi watakula watoto tu ila yeye hali" na kweli hata mimi nimeshuhudia.
Tukio la kwanza namjua alieacha kabisa kunywa bia alikuwa mnywaji wa bia tu wala si mlevi lakini kwajili ya mme wake aliacha, pia uheheni ni kawaida kukuta mwanaume kapata ulemavu ama kaoa na ulemavu lakini mwanamke bado anajishusha, yupo loyal, hana tamaa, n.k.