Case closed: Wahehe na wabena waendelee kupewa maua yao kwa kujitahidi kuwa wavumilivu kwenye ndoa, kujishusha na kulea watoto vizuri

Kina segito dada zangu wapewe maua yao kwa kweli!
 
Utandawazi unaathiri maadili, saiz unakuta mtu kabila flan ila kakulia tamadun tofauti, japo kwa wastan ni kweli hao wahehe na wabena ni wake sana
 
Cut the sh***t men wangekuwa hivyo ngwengwe isingekuwa high kiasi hicho tena ninazungumza Niko kikazi Kwa wabena uku ninayaona mengi sana.
 
Sasa watu wanaweza kuvumilia kero za mama mwenye mji...ashindwe kulea ndoa
Mabek 3 bora kabisa
 
Kuweka ndago (utajiri wa kuua hasa mtoto) ndo wako vizuri kwelii.
Lol
 
Cut the sh***t men wangekuwa hivyo ngwengwe isingekuwa high kiasi hicho tena ninazungumza Niko kikazi Kwa wabena uku ninayaona mengi sana.
Naomba takwimu za watu wanaojitokeza kupima njombe na iringa halafu tufananishe na mikoa mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…