Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Wanapuuza elimu?
Uwezo mdogo wa darasani?
Hawataki elimu dunia ?

Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo

Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard

Havard Alumni

1709993294881.png
 
Waarabu wana mafuta. Hawana shida ya kuumiza vichwa kusolve physics.

Wenye akili huwa wanapiga hela kwa kutumia vitu vyepesi.

Mfano saudi arabia hela wanazopata kwenye utalii wa kidini tu kwa mwaka ni nyingi kuliko pato la taifa la Tanzania.. hiyo tu inaonesha walivyo wajanja.

Kampuni yao ya mafuta Saudi Aramco kwa mwaka inatengeneza hela kuliko kuzidi mapato ya nchi zote africa mashariki ukizumlisha. Yaani TRA ya Tanzania + ya rwanda + ya kenya + ya uganda + ya burundi bado jumla ya hela zao zote wanazokusanya mwaka mzima haziifikii Saudi Aramco. Imagine hiyo ni kampuni moja tu
 
Elimu ni kwa wasaka tonge mkuu, kama unatonge unawapa kazi wasakaji, badala ya wewe kulihangaikia, ndo maana Kazi ya America ni kubuni Sports Car ila watumiaji ni hao wasio na elimu.

Kumbuka engineer hawezi miliki Lamborghini wala Porsche.
 
Hata vinchi vidogo kama Israel na South Korea wapo kwenye hio list na wana uchumi mkubwa kuzidi nchi za kiarabu , ni wasakatonge ?
Pesa za mawazo mkuu, uchumi wao umejengwa kwa hela za kujitafuta, ndo maana nimeweka mfano, ukienda Hayo mataifa uliyotaja hayako katika top spenders wa pesa make pesa zao za mawazo mawazo tu.
 
Kumbuka engineer hawezi miliki Lamborghini wala Porsche.
Nani kakudanganya? Hujui kwamba Elon Musk ni Engineer?

Hujui kwamba Marehemu Mengi alikuwa muhasibu?

Tatizo Tanzania mtu akisoma tumekariri anaishia kuajiriwa tu, hizi taaluma unaweza kujiajiri ukapiga pesa kuzidi alieajiriwa na ukiwa na ideas watu / taasisi wanaweza kuziwekeza, unaweza kupewa mkopo wa kuzitekeleza, kupewa grants, n.k.

Kulikuwa na muhasibu pale TRA alibuni mfumo wa kihasibu wa kuuza gesi, mfumo huu aliuuza kwa bilioni 50+ kwa sasa anakula maisha tu.
 
Nani kakudanganya ? hujui kwamba Elon Musk ni Engineer ?

Hujui kwamba Marehemu Mengi alikuwa muhasibu ?

Tatizo Tanzania mtu akisoma tumekariri anaishia kuajiriwa tu, hizi taaluma unaweza kujiajiri ukapiga pesa kuzidi alieajiriwa na ukiwa na ideas watu / taasisi wanaweza kuziwekeza, unaweza kupewa mkopo wa kuzitekeleza, kupewa grants, n.k.

Kulikuwa na muhasibu pale TRA alibuni mfumo wa wa kihasibu wa kuuza gesi, mfumo huu aliuuza kwa bilioni 50+ kwa sasa anakula maisha tu.
Usemayo ni kweli kabisa, lakini je ni asilimia ngapi ya ma engineer hata wa nchi zingine waliojiajiri na kufanya hayo uyasemayo!?

Swala linarudi pale pale wengi wanasubiria mishahara tu.

Ndo maana wafanyakazi wengi wa Dubai ni Wahindi na wazungu hao walosoma Havard. na wanalipwa na hao waliokataa kwenda shule.
 
wanapuuza elimu ?
uwezo mdogo wa darasani ?
hawataki elimu dunia ?

Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo

Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard

Havard Alumni

View attachment 2929507

Elimu ni kitu muhimu sana, Elon Musk ni Engineer,, hata Marehemu mengi alikuwa muhasibu, n.k.

Tatizo Tanzania mtu akisoma tumekariri anaishia kuajiriwa tu, hizi taaluma unaweza kujiajiri ukapiga pesa kuzidi alieajiriwa na ukiwa na ideas watu / taasisi wanaweza kuziwekeza, unaweza kupewa mkopo wa kuzitekeleza, kupewa grants, Kulikuwa na muhasibu pale TRA alibuni mfumo wa wa kihasibu wa kuuza gesi, mfumo huu aliuuza kwa bilioni 50+ kwa sasa anakula maisha tu, n,k. n.k.
Malizia na swali kwanini wapalestina wanauliwa kila siku na hakuna mtu anaewatetea? Ndio utajua umuhimu wa elimu.
 
wanapuuza elimu ?
uwezo mdogo wa darasani ?
hawataki elimu dunia ?

Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo

Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard

Havard Alumni

View attachment 2929507

Elimu ni kitu muhimu sana, Elon Musk ni Engineer,, hata Marehemu mengi alikuwa muhasibu, n.k.

Tatizo Tanzania mtu akisoma tumekariri anaishia kuajiriwa tu, hizi taaluma unaweza kujiajiri ukapiga pesa kuzidi alieajiriwa na ukiwa na ideas watu / taasisi wanaweza kuziwekeza, unaweza kupewa mkopo wa kuzitekeleza, kupewa grants, Kulikuwa na muhasibu pale TRA alibuni mfumo wa wa kihasibu wa kuuza gesi, mfumo huu aliuuza kwa bilioni 50+ kwa sasa anakula maisha tu, n,k. n.k.
Tanzania ina wahitimu kiasi gani vyuo vikuu vya kimataifa???
Kwani nchi za kiarabu hazina vyuo vikuu??
Au kuhitimu nje tu ndio njia sahihi ya kuwa na elimu??
MBONA UNA MITIZAMO FINYU WE JAMAA???
Au tukuletee vyuo vikuu vya kiarabu uvione??
 
wanapuuza elimu ?
uwezo mdogo wa darasani ?
hawataki elimu dunia ?

Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo

Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard

Havard Alumni

View attachment 2929507

Elimu ni kitu muhimu sana, Elon Musk ni Engineer,, hata Marehemu mengi alikuwa muhasibu, Mo Dewji kasoma Kusimamia biashara, n.k.

Tatizo Tanzania mtu akisoma tumekariri anaishia kuajiriwa tu, nikufahamishe kwamba hizi taaluma zinaweza kuchapisha pesa ndefu sana, ukiwa na ideas watu / taasisi wanaweza kuziwekeza, unaweza kupewa mkopo wa kuzitekeleza, kupewa grants japo kwa nchi zetu ni adimu lakini mfano mdogo kulikuwa na muhasibu pale TRA alibuni mfumo wa wa kihasibu wa kuuza gesi, mfumo huu aliuuza kwa bilioni 50+ kwa sasa anakula maisha tu, n,k. Nchi kama Israel wahitimu wanaanzisha startups wanaziuza kwa mabilioni, n.k
Sijui lini waarabu wataachwa kuwawasha ninyi majamaa.
Saudi Arabia ina world ranked universities pia.
HIvyo sio lazima mpaka waende wakajazane Havard acha uzwazwa.
Screenshot_2024-03-09-17-59-57-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-09-18-00-57-28_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Usemayo ni kweli kabisa, lakini je ni asilimia ngapi ya ma engineer hata wa nchi zingine waliojiajiri na kufanya hayo uyasemayo.....!?
Swala linarudi pale pale wengi wanasubiria mishahara tu.
Ndo maana wafanyakazi wengi wa Dubai ni Wahindi na wazungu hao walosoma Havard. na wanalipwa na hao waliokataa kwenda shule.

Mishahara hio hio ndio inadundulizwa watu wawe na kampuni zao, nyumba zao, n.k. hata Elon Musk kawahi kuajiriwa, hata mengi aliwahi kuajiriwa, hata vunja bei aliwahi kuajiriwa....
 
Acha watu wa watu wakomae na Juzuu, kwanza Wao hawana shida na Chuo, chuo wanasoma hata wakiwa chekechea, wanapiga 2 in 1, na kaleti anakupiga.
Ndivyo mnavyojidanganya!?
Hamuna exposure kabbisa.
Nioneshe chuo Tz ambacho kina world score kiasi kupata world rank kama hivyo vya Saudi Arabia.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-03-09-17-59-57-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-03-09-17-59-57-18_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    366.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_2024-03-09-18-00-57-28_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    Screenshot_2024-03-09-18-00-57-28_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    275.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom