Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Mkuu wewe ni mgumu kuelewa namaanisha je ni asilimia ngapi ya ma engineer iliyotoboa, wewe unaongelea asilimia 1 kati ya mia.
Africa ndio bara masikini lakini, waAfrika baadhi ni matajiri kuliko hata wazungu, lakini hio haibadilishi ukweli kwamba Afrika ndio maskini zaidi, ndo maana kuna kitu inaitwa Asilimia.
Na hata mabilionea hapa duniani ni asilimia 1 tu

Hii ni list ya matajiri top 10 wanaoongoza duniani kwa sasa, hawa wote walisoma vyuoni, walitumia taaluma walizosoma kuzigeuza ziwe ideas ambazo zimewatajirisha.

Elon Musk
Larry Ellison
Bernard Arnault
Larry Page
Bill Gates
Warren Buffett
Steve Ballmer
Sergey Brin
Jeff Bezos
Mark Zuckerberg
 
Usemayo ni kweli kabisa, lakini je ni asilimia ngapi ya ma engineer hata wa nchi zingine waliojiajiri na kufanya hayo uyasemayo.....!?
Swala linarudi pale pale wengi wanasubiria mishahara tu.
Ndo maana wafanyakazi wengi wa Dubai ni Wahindi na wazungu hao walosoma Havard. na wanalipwa na hao waliokataa kwenda shule.
Halafu angalia waajirwa wengi wanavyokuwa na maisha magumu sana baada ya kustaafu.
 
Na hata mabilionea hapa duniani ni asilimia 1 tu

Hii ni list ya matajiri top 10 wanaoongoza duniani kwa sasa, hawa wote walisoma vyuoni, walitumia taaluma walizosoma kuzigeuza ziwe ideas ambazo zimewatajirisha.

Elon Musk
Larry Ellison
Bernard Arnault
Larry Page
Bill Gates
Warren Buffett
Steve Ballmer
Sergey Brin
Jeff Bezos
Mark Zuckerberg
Lakini sio taaluma zao zilizowatajirisha
 
Hii
Na hata mabilionea hapa duniani ni asilimia 1 tu

list hii yote ya matajiri top 10 walisoma vyuoni na kutumia taaluma walizosoma ziwatajirishe

Elon Musk
Larry Ellison
Bernard Arnault
Larry Page
Bill Gates
Warren Buffett
Steve Ballmer
Sergey Brin
Jeff Bezos
Mark Zuckerberg
Hii list ya kubagua bagua utajiri umepatikanaje??
Mngefanya vigezo jumuishi kama msingeona hapo juu waarabu wamekaa kwa list.
Nakushauri DUNIANI BARA MASIKINI NI BARA LA AFRIKA IKIWEMO NCHI YA TANZANIA.
KHERI UNGETIZAMA KIPI KIFANYIKE NA UKATOA USHAURI AFRIKA TUNATATUAJE SHIDA ZETU KULIKO KUHANGAIKA NA WAARABU.
Unaohangaika nao mwaka juzi Qatar imefanya recruitment ya wanasayansi wa China kuja Qatar kuwaelekeza uundaji silaha sambamba na UAE imeunda coalition na kampuni ya South Africa iwafundishe wahandisi wa UAE kuunda silaha.
Wewe nchi yako iko nyuma kwa kila kitu.
Qatar inaalika maprofessa toka China kila leo na Ulaya kuambukiza ujuzi wa kiteknolojia raia wa Qatar.
Taifa lako linafanya nini??
 
Nikuletee list ya madaktari na wahandisi wakubwa wenye asili ya Kipalestina???
Hio list haisaidii niletee makampuni makubwa ya dunia ambayo ma C.E.O ni waarabu (sio wapalestina). Na usije ukaleta udini maana ingekuwa wakristu wanapendelewa wahindi wasingekuwa ma C.E.O Google, Miccrosoft n.k
 
Na hata mabilionea hapa duniani ni asilimia 1 tu

Hii ni list ya matajiri top 10 wanaoongoza duniani kwa sasa, hawa wote walisoma vyuoni, walitumia taaluma walizosoma kuzigeuza ziwe ideas ambazo zimewatajirisha.

Elon Musk
Larry Ellison
Bernard Arnault
Larry Page
Bill Gates
Warren Buffett
Steve Ballmer
Sergey Brin
Jeff Bezos
Mark Zuckerberg
Ongezea kwa kumwambia kati ya hao wangapi ni wayahudi
 
Unapodhani uelewa unatokana na wewe kwenye Chuo fulani au kusoma mahali fulani ndio mwanzo wa kuwa na so called wasomi wengi wasio na msaada duniani...

Hivi unadhani na so called wasomi tulionao leo je tunapiga hatua zaidi ya kina Galileo na watu wa Age of Enlightenment ?

By the way unadhani Algebra ilitokea wapi na kina nani walijikita sana huko ? Au unadhani hizi so called arabic numbers (1, 2, 3, ) ni nani alizipeleka huko western baada ya waarabu kuziona toka kwa wahindi ?

By the way unajua university ya kwanza in History ilianzishwa na nani na wapi ?
 
Hio list haisaidii niletee makampuni makubwa ya dunia ambayo ma C.E.O ni waarabu (sio wapalestina). Na usije ukaleta udini maana ingekuwa wakristu wanapendelewa wahindi wasingekuwa ma C.E.O Google, Miccrosoft n.k
Unahama tena!?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kwahiyo umehama kutoka waarabu kutokupenda kusoma kuja kutaka ma CEO wakubwa ulimwenguni
wa kiarabu??
Unaonaje nikakuletea wanasayansi wa kiarabu waliounda makampuni yao ya uzalishaji magari na viwanda vingine???
Bado hujasema wewe utahama kila eneo.
 
Nimekuletea list ya vyuo ndani ya Saudia Arabia unaniletea taarabu.
Kwahiyo hivyo vyuo huwa ni vitupu haviingii wanafunzi???
Kichwa chako bure kabisa.
Chuo kuwa namba moja sio sababu nenda kakae uarabuni karibu mwaka ndio uje hapa. Fuatilia hata Burj Khalifa imejengwa na kampuni ya South Korea kushirikiana na consultancy ya Wabelgiji na Wamarekani. Ninaongea facts siongei vitu vya nadharia. Waturuki ni waislamu ila wana akili kidogo. Hauwezi kushinda na wake wanne na kuswali mara ztano kwa siku halafu ufocus na maisha.
 
Niletee cha ISRAEL kilichoingia hata 20 bora.
Hamuishiwi sababu aisee.
Tanzania ina vyuo vyenye world score??
Nitajie hata chuo cha Tanzania chenye nafasi hata ya 300 kidunia.
Kusomea Israel ni changamoto kwa sababu za kiusalama hivyo sidhani kama Israel kama kuna chuo kimeingia 20 bora, ndio maana wengi wanaenda kusoma vyuo vya nje, Mfano katika ukanda mzima huo waliozungukwa na waarabu ni wao pekee wamo kwenye orodha ya taifa lililotoa wahitimu wengi Havard ambacho ni moja ya chuo bora Duniani, Hata Saudia pamoja na kuwa na amani na population kubwa hawajaweza

Ila elimu zinawasaidia, nadhani unakumbuka hata mtanzania mwenzetu Mollel (rip) alienda kujifunza kilimo Israel sababu ni nchi yenye teknolojia za juu kwenye kilimo hata kampuni inayoongozea ya Netvic inayoongozea duniani kwenye umwagiliaji na kilimo dijitali "Netvic" ni ya huko.

1709998017315.png
 
Ukiwa na utajiri endelevu mda wa kuumiza kichwa kusolve equation waachie masikini.
Hao hao wasomi ndio wameajiriwa na waarabu kusimamia biashara zao.
Maliasili sio utajiri endelevu na watumiaji wakubwa wa hayo Mafuta ni hao wanaosoma, na waliogundua kuwa mafuta yanaweza kuendesha mitambo ni hao wanaosoma

Acheni mawazo ya kimasikini.
 
Lakini sio taaluma zao zilizowatajirisha
Taaluma ndizo ziliwapa hata uwezo wa kuwa na ideas

ideas walizipata kutoka kwenye Taaluma walizosomea.

mfano kina Bill Gates walisomea mambo ya computer wakageuza idea zao walizosomea kwenye taaluma zao ziwatajirishe
 
Chuo kuwa namba moja sio sababu nenda kakae uarabuni karibu mwaka ndio uje hapa. Fuatilia hata Burj Khalifa imejengwa na kampuni ya South Korea kushirikiana na consultancy ya Wabelgiji na Wamarekani. Ninaongea facts siongei vitu vya nadharia. Waturuki ni waislamu ila wana akili kidogo. Hauwezi kushinda na wake wanne na kuswali mara ztano kwa siku halafu ufocus na maisha.
Unaropoka huongei facts.
Halafu unapoitaja Uturuki aisee unataja miongoni mwa mataifa yenye mchango katika sayansi na teknolojia.
Kama unabisha tujadili hili.
Waarabu kutokushiriki kujenga hiyo Burj Khalifa haimaanishi wana lack competence isipokua waarabu ni jamii isiyopenda kujihangaisha.
Hauna facts unajiropokea.
Kuna waarabu kama watatu au wanne hapo watizame.
Screenshot_2024-03-09-18-33-22-11_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-09-18-34-27-71_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-09-18-34-27-71_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Wapalestina hawako kwenye system katika mataifa makubwa. Wapalestina walikuwa mbele ya wahindi, wachina na wakorea katika kupewa hifadhi Ulaya na Marekani. Lakini angalia against all odds wahindi ndio Ma CEO wa makampuni makubwa marekani. Wapalestina wakifika ulaya na marekani wanafanya biashara za kikuda badala ya kuinfiltrate system. C.E.O wa makampuni makubwa kama Adobe, Nvidia, Alphabet, Google na Microsoft wana influence kubwa katika serikali za first world countries. Wao wakifika Ulaya wanakazana na kujilipua na kukesha na swala tano kila siku.
Kwanza ku compare wakimbizi sijui laki kadhaa na Taifa lenye watu zaidi ya Bilioni ni upuuzi tu, niliwahi kuelezea humu mafanikio ya waarabu wa levant (Palestine, Lebanon na Syria) huko America Kusini.

Hawa jamaa baada ya Israel kuleta Machafuko hapo wengi walikimbilia America Kusini na Latin America kwa Ujumla na wachache Ulaya na Usa.

Sasa hivi Kila Nchi za America Kusini ukigusa unakuta Influence zao.

Nayib Bukele rahisi wa El Salvador ambaye anatrend kutokomeza magende ya wauaji kwa kipindi kifupi ni Mpalestina. Ukienda Chille, Uruguay, Argentina, Brazil, Mexico etc kote utakuta hawa jamaa wameacha alama kubwa vibaya mno. Uchumi wa Nchi hizi sasa hivi unakaribia wa Ulaya.

Si hapo tu hata nchi za kiarabu, waarabu wa gulf ni wafanyabiashara wazuri enzi na enzi ila walikua wanaishi kikoo na hawana skills nyengine kama za diplomasia, baada ya hizi Nchi kuwa na mafuta, Wapalestina wengi walikuwa poached kwenye serikali zao na kupewa nafasi za kuwa shauri Na kuongoza nchi zao. So usi wa under estimate kabisa hawa jamaa.

Na hii ndio tofauti ya waarabu vs wahindi, Wahindi ambao ni MA CEO wamesaidia nini India? Nchi ambayo mpaka kesho watu wanajisaidia maporini, nchi ambayo mtu hata kutongoza mwanamke hajui wanajua tu kubaka Wanawake hadi Wanyama hawaachwi, jamaa wanabaka hadi kenge wanampiga mtungo hadi wanakufa?

Kuna Nchi nyingi sana za Asia zinaweza kuwa role model KWETU, China, Taiwan, Indonesia, Malyasia, Vietnam, Thailand, hizo Nchi za Gulf etc ila sio hao uliowataja, kujipendekeza kwa Usa anafanakiwa mmoja katika 10 ama 100
 
Maliasili sio utajiri endelevu na watumiaji wakubwa wa hayo Mafuta ni hao wanaosoma, na waliogundua kuwa mafuta yanaweza kuendesha mitambo ni hao wanaosoma

Acheni mawazo ya kimasikini.
Sio kwamba elimu ya darasani sio kipaumbele ni kama utaitumia tu
 
Kusomea Israel ni changamoto kwa sababu za kiusalama hivyo sidhani kama Israel kama kuna chuo kimeingia 20 bora, ndio maana wengi wanaenda kusoma vyuo vya nje, Mfano katika uk..anda mzima huo waliozungukwa na waarabu ni wao pekee wamo kwenye orodha ya taifa lililotoa wahitimu wengi Havard ambacho ni moja ya chuo bora Duniani, Hata Saudia pamoja na kuwa na amani na population kubwa hawajaweza

Ila elimu zinawasaidia, nadhani unakumbuka hata mtanzania mwenzetu Mollel (rip) alienda kujifunza kilimo Israel sababu ni nchi yenye teknolojia za juu kwenye kilimo hata kampuni inayoongozea ya Netvic inayoongozea duniani kwenye umwagiliaji na kilimo dijitali "Netvic" ni ya huko.

View attachment 2929604
Hoja zako dhaifu sana.
Saudi Arabia anao wahitimu ndani na nje ya nchi hivyo hiyo sababu yako haina mashiko.
Na inavyoonekana mentality yako inasema kuwa ukisoma havard ndio umezalisha wasomi aisee huu ni ufinyu wa fikra
 
Unahama tena!?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kwahiyo umehama kutoka waarabu kutokupenda kusoma kuja kutaka ma CEO wakubwa ulimwenguni
wa kiarabu??
Unaonaje nikakuletea wanasayansi wa kiarabu waliounda makampuni yao ya uzalishaji magari na viwanda vingine???
Bado hujasema wewe utahama kila eneo.
Sijahama nimekuambia leta ma C.E.O wa kampuni waarabu maana waarabu ni sample kubwa kuliko wapalestina. Nimejifunza mengi sana huku Ujerumani kuna wapalestina huku nawauliza kwa nini hawajakimbilia Gulf countries. Wanasema wakifika kule hawawi treated vizuri. Huku ujerumani ukizaa unalipwa kila mwezi mpaka mtoto afikishe miaka 18 haijalishi dini,kabila au race. Ukifukuzwa kazi unalipwa asilimia 80 ya mshahara wa kazi yako kwa mwaka mzima ukiwa natafuta kazi. Ukienda Saudia waarabu wa ukoo wa Al Saud ni higher caste kuliko wengine sasa jiulize je wapalestina itakuwaje. Wafanyakazi mnafanaya kazi moja lakini mishahara ni tofauti kulingana na caste(tabaka) lako. Usiipe dini kipaumbele, kipaumbele kiwe utu.
 
Hoja zako dhaifu sana.
Saudi Arabia anao wahitimu ndani na nje ya nchi hivyo hiyo sababu yako haina mashiko.
Na inavyoonekana mentality yako inasema kuwa ukisoma havard ndio umezalisha wasomi aisee huu ni ufinyu wa fikra
Msaudi hata mmoja amewahi kushinda Noble Prize ?
 
Back
Top Bottom