Nimekuletea list hapo juu au hujaisoma??Sijahama nimekuambia leta ma C.E.O wa kampuni waarabu maana waarabu ni sample kubwa kuliko wapalestina. Nimejifunza mengi sana huku Ujerumani kuna wapalestina huku nawauliza kwa nini hawajakimbilia Gulf countries. Wanasema wakifika kule hawawi treated vizuri. Huku ujerumani ukizaa unalipwa kila mwezi mpaka mtoto afikishe miaka 18 haijalishi dini,kabila au race. Ukifukuzwa kazi unalipwa asilimia 80 ya mshahara wa kazi yako kwa mwaka mzima ukiwa natafuta kazi. Ukienda Saudia waarabu wa ukoo wa Al Saud ni higher caste kuliko wengine sasa jiulize je wapalestina itakuwaje. Wafanyakazi mnafanaya kazi moja lakini mishahara ni tofauti kulingana na caste(tabaka) lako. Usiipe dini kipaumbele, kipaumbele kiwe utu.
Unapoitaja Palestina wapo wapalestina wenye vyeo QATAR,KUWAIT NA BAHRAIN AMA UNATAKA NIKULETEE??