Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Hivyo vitu vitasaidia ninikatika kuikomboa Palestina ?
Palestina itakomboka tu its just a matter of time mkuu kwani haki ina tabia ya kushinda siku zote, na muda ni mwalimu mzuri hata kama siyo kwa kizazi chetu , mimi nina mavyeti mengi ila sithubutu kumdharau mtu asiyekuwa na vyeti kwasababu mungu ametuumba tofauti na kila mtu na kipaji chake hawa kina abood na bakhresa hawana vyeti kama sisi ila ndio wameshikilia uchumi wa nchi.
Mbowe hana vyeti ila wale wajuaji wa chadema makapuku na mavyeti yao hawafurukuti kwake its a capitalism world
 
Wahindi wana influence gani? Kuwepo kwao kwenye hizo nchi kumewasaidia nini? Tatizo lenu mnakariri sana. Huyo Waziri mkuu Wa Scotland si Ana familia Palestina amesaidia nini? We all know wanasiasa wa west wapo gama geresha viongozi wa hizo nchi sio wanasiasa, wayahudi wana mahusiano Na Viongozi halisi wa hizo nchi kina Rothschild na sio hao viongozi hewa.

Unapambana vipi na kina Rothschild? Palestina akiwa waziri mkuu ataweza kukomesha vita ama atakua waziri mkuu hewa? Jibu unalo.

Ndio maana unaona Wapalestina walienda South na sio North, sababu wewe unaangalia kivuli chako kilipoishia huwezi elewa mkuu, angalia mbali, nchi za South America sasa hivi zinakuwa kwa kasi mno, zimeshapita nchi za Ulaya mashariki kina Ukraine, Georgia etc hawajafikia uchumi wa west ila wapo karibu, Same kwa Asia Kina China, Vietnam, Malyasia, Indonesia, Thailand etc wote hawa Wanakua. Baada ya miaka 20-30 baadae wote hawa watakua na say ya kitu gani kifanyike duniani na wazungu wa Ulaya na Marekani itabidi wasikilize.
Sasa huyo waziri mkuu wa scotland yuko mmoja wangekuwa hata wapalestina wanaojaza coaster moja katika Bunge la EU mbona Israel wangeshaondoka muda tu. Tatizo wapalestina hawana malengo ya muda mrefu unamchokoza Israel wakati bado hauna influence. Kwa fursa walizo nazo wapalestina wangekomaa na shule wangekuwa zaidi ya Rosthchilds leo hii. Nilikuja huku kwa Visa ya kusoma lakini tambua kama nchi yako ina majanga ni rahisi kupewa hifadhi na kuwa raia wa ulaya na Marekani. Waaarabu ni wazembe narudia tena wazembe kupita kiasi. Unaongea baada ya miaka 20-30 hao South -America wana technology gani ? Kwa nini advancement ya technology ipo Marekani na Ulaya na sio Uarabuni ? Kuna mambo mengi sana, first world countries wamefungua nchi uwe muhindi, muarabu au mwafrika ukikaza unatoboa. Nenda uarabuni hata ukomae kivipi kama haupo tabaka fulani hautoboi.
 
Palestina itakomboka tu its just a matter of time mkuu kwani haki ina tabia ya kushinda siku zote, na muda ni mwalimu mzuri hata kama siyo kwa kizazi chetu , mimi nina mavyeti mengi ila sithubutu kumdharau mtu asiyekuwa na vyeti kwasababu mungu ametuumba tofauti na kila mtu na kipaji chake hawa kina abood na bakhresa hawana vyeti kama sisi ila ndio wameshikilia uchumi wa nchi.
Mbowe hana vyeti ila wale wajuaji wa chadema makapuku na mavyeti yao hawafurukuti kwake its a capitalism world
In capitalism the power on information overcomes money or capital. Mafuta ya Uarabuni bila dollar ya Mmarekani hayana thamani. Mimi simdharau mtu hajasoma, lakini nakuahidi mtu ambaye hana shule kichwani hata akiwa na hela hana malengo ya muda mrefu. Tajiri asiye na kitu kichwani akifa kila kitu kinakufa nae tujifunze kuweka malengo ya muda mrefu. Ninamkubali mtu ambaye hajasoma lakini anajua mahali alipopelea na anawekeza nguvu ajifunze. Kuna matajiri kama Mzee Thomas Lymo na Ibrahim Ambwere wa Kenya. Hawa hawajasoma lakini wako smart sana na waligundua kuna vitu lazima wajifunze wao wenyewe. Hawa matajiri wakikuwambia muda na nguvu waliotumia kujifunza kiiingereza miaka hio utagundua kuwa maisha yamerahisishwa sana siku hizi. Nimeshawahi kufanya nao kazi namshukuru Mungu kwa kunikutanisha nao.
 
Asante sana nipo ujerumani ninasoma huku nafanya kazi katika kiwanda cha continental ninangia ofisini mara mbili kwa wiki. Na mwaka jana nilipokea tuzi ya mfanyakazi bora wa mwaka. Ninasomea Industrial Engineering and Management nategemea kumaliza research yangu mwakani 2025. Nikimaliza nitafanya PhD, wajerumani wananiheshimu sana kwa kazi ninayoifanya. Nikimaliza nina mpango wa kurudi nyumbani nifungue kiwanda. Usiseme Afrika itabaki masikini mpaka kiama jipige kifuani sema "mimi nitabaki masikini mpaka kiama". Kuna kitu kinaitwa focus mimi ninafocus kwenye kazi yangu kwa asilimia mia moja. Nilifika huku mwaka jana mwezi wa tatu lakini sasa ninaongea kijerumani vizuri. Kuna watu wana miaka kumi huku lakini wanang'ang'ania lugha zao na wanalalamika kuwa wanakosa kazi nzuri. Haijalishi wewe ni dini, kabila au tabaka gani huku ukikomaa unatoboa. Nina maboss ambao wanatumia Cocaine, Ketamine, Marijuana na wengine ni mashoga na wasagaji . Mimi siviafiki hivyo vitu lakini kwenye kazi nakubali kuwa ni wachapakazi japokuwa nje ya kazi siwezi kuwa na urafiki nao. Afrika ni sawa na wapalestina tuna malengo ya muda mfupi hatuna malengo ya muda mrefu. Ukifuatilia mpango wa Israel wayahudi hawakuamka asubuhi na kuamua iwe hivyo. Wali-infiltrate serikali za mataiffa makubwa.
Umejizungumzia sana wewe aisee na kuni attack personally,una uhakika gani kama mimi masikini??
Wacha huko nikuache sina muda wa kujitapa,Africa hamuwezi jifananisha hata na Palestina,na ili kufanikiwa sio mpaka uji infiltrate katika mataifa makubwa.
Kamfuatilie Yasser Arafat utaelewa Palestina ni jamii ya aina gani.
Kwani Turkiye iliji infiltrate mataifa makubwa??
Kwani Singapore iliji infiltrate mataifa makubwa???
Hayo mataifa yafuatilie yana msingi imara kielimu na kitamaduni na wana focus za mbele na misingi imara katika uongozi ndio maana wakafika mbali.
Hivi unaweza amini miaka ya 1990s Tz na Qatar hatukupishana sana kiubavu ila sasa hivi Qatar ni taifa la kitajiri???
Afrika mkiondoa umimi,ulafi wa madaraka na ukibaraka mtaendelea siku moja.
Pia mbona unashikilia sana dini aisee shida nini??
 
Sasa huyo waziri mkuu wa scotland yuko mmoja wangekuwa hata wapalestina wanaojaza coaster moja katika Bunge la EU mbona Israel wangeshaondoka muda tu. Tatizo wapalestina hawana malengo ya muda mrefu unamchokoza Israel wakati bado hauna influence. Kwa fursa walizo nazo wapalestina wangekomaa na shule wangekuwa zaidi ya Rosthchilds leo hii. Nilikuja huku kwa Visa ya kusoma lakini tambua kama nchi yako ina majanga ni rahisi kupewa hifadhi na kuwa raia wa ulaya na Marekani. Waaarabu ni wazembe narudia tena wazembe kupita kiasi. Unaongea baada ya miaka 20-30 hao South -America wana technology gani ? Kwa nini advancement ya technology ipo Marekani na Ulaya na sio Uarabuni ? Kuna mambo mengi sana, first world countries wamefungua nchi uwe muhindi, muarabu au mwafrika ukikaza unatoboa. Nenda uarabuni hata ukomae kivipi kama haupo tabaka fulani hautoboi.
Mzozo wa Palestina kuteseka hauhusiani na Palestina kukosa mipango ya muda mrefu.
Hilo ni suala la geopolitical interests mzee.
Kafuatilie kuanzia 1946 utaelewa kwanini Palestina inateseka vile.
Dunia ya sasa haiendi kama udhaniavyo eti ukiwa na ujamaa na mataifa makubwa ndio ume win.
 
In capitalism the power on information overcomes money or capital. Mafuta ya Uarabuni bila dollar ya Mmarekani hayana thamani. Mimi simdharau mtu hajasoma, lakini nakuahidi mtu ambaye hana shule kichwani hata akiwa na hela hana malengo ya muda mrefu. Tajiri asiye na kitu kichwani akifa kila kitu kinakufa nae tujifunze kuweka malengo ya muda mrefu. Ninamkubali mtu ambaye hajasoma lakini anajua mahali alipopelea na anawekeza nguvu ajifunze. Kuna matajiri kama Mzee Thomas Lymo na Ibrahim Ambwere wa Kenya. Hawa hawajasoma lakini wako smart sana na waligundua kuna vitu lazima wajifunze wao wenyewe. Hawa matajiri wakikuwambia muda na nguvu waliotumia kujifunza kiiingereza miaka hio utagundua kuwa maisha yamerahisishwa sana siku hizi. Nimeshawahi kufanya nao kazi namshukuru Mungu kwa kunikutanisha nao.
Unavyoona walipotokea waarabu miaka hiyo ambako walidharaulika duniani hadi leo wazungu wanawauzia na kuwamilikisha vitu vyao muhimu kama airport na bandari ni kitu kidogo?
 
Ukiwa na akili huitaji vyeti mkuu vyeti ni kwa ajili ya kuajiriwa tu, hao unaosema hawana akili ukiangalia walipotoka na sasa na wanapoelekea utaona huyo mwenye vyeti keshasalimu amri
Hakuna aliyeamini kwamba kuna siku muarabu atakuwa mmiliki wa leading airport duniani yani heathrow.
Hakuna aliyeamini kwamba all major events duniani zitafanyika uarabuni, ngumi za joshua na zote kumbwa zimefanyika uarabuni.
Hakuna aliyeamini kwamba world best player ronaldo angecheza uarabuni na wengine wakafuata.
AKili na vyeti ni vitu viwili tofauti , gsm na bakhressa wanacontrol uchumi wa nchi yako na hawana vyeti ila wana akili
And yet they depend on Western technology to harness their natural wealth
 
Umejizungumzia sana wewe aisee na kuni attack personally,una uhakika gani kama mimi masikini??
Wacha huko nikuache sina muda wa kujitapa,Africa hamuwezi jifananisha hata na Palestina,na ili kufanikiwa sio mpaka uji infiltrate katika mataifa makubwa.
Kamfuatilie Yasser Arafat utaelewa Palestina ni jamii ya aina gani.
Kwani Turkiye iliji infiltrate mataifa makubwa??
Kwani Singapore iliji infiltrate mataifa makubwa???
Hayo mataifa yafuatilie yana msingi imara kielimu na kitamaduni na wana focus za mbele na misingi imara katika uongozi ndio maana wakafika mbali.
Hivi unaweza amini miaka ya 1990s Tz na Qatar hatukupishana sana kiubavu ila sasa hivi Qatar ni taifa la kitajiri???
Afrika mkiondoa umimi,ulafi wa madaraka na ukibaraka mtaendelea siku moja.
Pia mbona unashikilia sana dini aisee shida nini??

Sijaku-attack ulisema "nchi za kiafrika zitabaki masikini mpaka kiama". Nimekuambia usiseme hivyo maana watu wanapiga hela daily. Mimi nipo Ujerumani lakini kuna Ma-Engineer wapo tanzania wanakuja kunitembelea huku na wana hela kuliko mimi. Mna-focus na Uwaziri na ubunge je unajua kuna Makatibu wa wizara wapo wizarani toka enzi za Kikwete ? Hapo ndio utajua umuhimu wa shule. Umimi lazima uwepo usisubiri serikali ikusaidie kuna mbunge anajitolea mshahara wake kwa ajili ya jimbo lake ? Watanzania bado hatujui shida natamani hata tupewe maisha magumu kidogo kama Kenya. Kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe. Marekani ina kambi za kijeshi Qatar, Singapore na Uturuki . Unaongelea nchi ambazo hazipo G8 na hazina veto katika UN niletee nchi ambayo inaweza kumuamuru Marekani mara moja iache kuipa misaada Israel. Maisha yana formula yakikupiga aamka na ujue ulipopelea na ujiongeze ili ufike juu. Kama hakuna nchi ambayo haiwez kuinfluence Marekani inabidi mfanye bidiii wapalestina wawe wengi kwenye system.
 
Unavyoona walipotokea waarabu miaka hiyo ambako walidharaulika duniani hadi leo wazungu wanawauzia na kuwamilikisha vitu vyao muhimu kama airport na bandari ni kitu kidogo?
Airport ni biashara za kizamani hauwezi kulinganisha airport na Nasa au Space X. Kuna biashara unaweza ukaziendesha kwa hela tu na kuna zingine zinahitaji akili na taaluma.
 
Airport ni biashara za kizamani hauwezi kulinganisha airport na Nasa au Space X. Kuna biashara unaweza ukaziendesha kwa hela tu na kuna zingine zinahitaji akili na taaluma.
At the end of the day ukifanikiwa wenye hela watakuja kununua tu acha hawa sijui nasa wahangaike mwisho wa siku wanawekewa mzigo mezani wanauza ndio maisha yalivyo
 
Imagine mtu anakwambia kuwin katika hii dunia lazima uwe umeji infiltrate kwenye mataifa ya Imperialists.
Aisee hii ni hatari sana.
Nimekaa na wayahudi na waarabu, hivi unajua kuna nyumba za Israel vinauzwa katika masynagogue huku ulaya na Marekani ? Hizi nyumba na apartment zimejengwa katika ardhi ambayo wapalestina wamefukuzwa. Tatizo mnakesha mitandaoni mnadhani mnajua kila kitu 😂 😂 😂 😂 .
 
At the end of the day ukifanikiwa wenye hela watakuja kununua tu acha hawa sijui nasa wahangaike mwisho wa siku wanawekewa mzigo mezani wanauza ndio maisha yalivyo
Ukiwa mjinga utauza kitu potential kwako ukiwa na malengo ya muda mrefu hauwezi kuuza kitu muhimu. Wachina nao hawako nyuma kuwekeza Ulaya na Marekani kama waarabu. Lakini ukifuatilia hawa wote wameishia kuwekeza katika biashara za kikuda ambazo hazina research and development potential.
 
Back
Top Bottom