Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Waache wakimbilie mitandaoni wakazti matajiri wakubwa wa nchi wana-lobby hadi katika kampeni za Urais ni wayahudi. Kuna RAIS wa marekani aliwahi kuwa na sera ya kutoisaidia Israel ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache wakimbilie mitandaoni wakazti matajiri wakubwa wa nchi wana-lobby hadi katika kampeni za Urais ni wayahudi. Kuna RAIS wa marekani aliwahi kuwa na sera ya kutoisaidia Israel ?
Ukiweka chuki pembeni utagundua mchina pace yake yake ya maendeleo ni kubwa hadi huyo mmarekani anaogopaUkiwa mjinga utauza kitu potential kwako ukiwa na malengi ya uda mrefu hauwezi kuuza kitu muhimu. Wachina nao hawako nyuma kuwekeza Ulaya na Marekani kama waarabu. Lakini ukifuatilia hawa wote wameishia kuwekeza katika biashara za kikuda ambazo hazina research and development potential.
Mchina hawezi kumfikia mareakani kwa sababu mchina hafanyi research ana copy na ku paste. Hakuna nchi inaweza kuifikia marekani kwa sababu nchi nyingi zinatoa fursa kibaguzi. Marekani na Ulaya ukiwa na Taaluma haijalishi wewe unatoka wapi watakuhsehimu na utafanikiwa. Mchina, Mwarabu na Nchi zingine wanaojiona wanauwezo hawawezi kumfikia U.S kwa sababu hawajafungua nchi zao. Kuna boss gani mkubwa China ambye sio mchina.Uarabuni unafanya kazi una cheo sawa na Muarabu lakini wewe unalipwa kidogo. Na huyo Mwarabu uliye naye analipwa kidogo kuliko mwenzake kwa sababu ukoo wake ni wa tabaka la chini kuliko mwenzake. Huku wote mna cheo kimoja. Marekani kuna watanzania ni Ma C.E.O kwenye mabenki makubwa na makampuni makubwa ya ujenzi. Ujerumani ukizaa unalipwa haijalishi kabila, dini au ngozi yako.Ukiweka chuki pembeni utagundua mchina pace yake yake ya maendeleo ni kubwa hadi huyo mmarekani anaogopa
Muarabu hahitaji hivyo amebarikiwa watahangaika wakihitaji hela watamtafuta
Bado unaongea OP mkuu.Nimekaa na wayahudi na waarabu, hivi unajua kuna nyumba za Israel vinauzwa katika masynagogue huku ulaya na Marekani ? Hizi nyumba na apartment zimejengwa katika ardhi ambayo wapalestina wamefukuzwa. Tatizo mnakesha mitandaoni mnadhani mnajua kila kitu 😂 😂 😂 😂 .
Wewe unaona ujanja ni kujipendekeza kwa wazungu, thats your mentality obvious utaona solution ya Wapalestina ni wao kuwa watumwa wa wazungu.Sasa huyo waziri mkuu wa scotland yuko mmoja wangekuwa hata wapalestina wanaojaza coaster moja katika Bunge la EU mbona Israel wangeshaondoka muda tu. Tatizo wapalestina hawana malengo ya muda mrefu unamchokoza Israel wakati bado hauna influence. Kwa fursa walizo nazo wapalestina wangekomaa na shule wangekuwa zaidi ya Rosthchilds leo hii. Nilikuja huku kwa Visa ya kusoma lakini tambua kama nchi yako ina majanga ni rahisi kupewa hifadhi na kuwa raia wa ulaya na Marekani. Waaarabu ni wazembe narudia tena wazembe kupita kiasi. Unaongea baada ya miaka 20-30 hao South -America wana technology gani ? Kwa nini advancement ya technology ipo Marekani na Ulaya na sio Uarabuni ? Kuna mambo mengi sana, first world countries wamefungua nchi uwe muhindi, muarabu au mwafrika ukikaza unatoboa. Nenda uarabuni hata ukomae kivipi kama haupo tabaka fulani hautoboi.
Unazungumzia copy and paste ama innovation??Mchina hawezi kumfikia mareakani kwa sababu mchina hafanyi research ana copy na ku paste. Hakuna nchi inaweza kuifikia marekani kwa sababu nchi nyingi zinatoa fursa kibaguzi. Marekani na Ulaya ukiwa na Taaluma haijalishi wewe unatoka wapi watakuhsehimu na utafanikiwa. Mchina, Mwarabu na Nchi zingine wanaojiona wanauwezo hawawezi kumfikia U.S kwa sababu hawajafungua nchi zao. Kuna boss gani mkubwa China ambye sio mchina.Uarabuni unafanya kazi una cheo sawa na Muarabu lakini wewe unalipwa kidogo. Na huyo Mwarabu uliye naye analipwa kidogo kuliko mwenzake kwa sababu ukoo wake ni wa tabaka la chini kuliko mwenzake. Huku wote mna cheo kimoja. Marekani kuna watanzania ni Ma C.E.O kwenye mabenki makubwa na makampuni makubwa ya ujenzi. Ujerumani ukizaa unalipwa haijalishi kabila, dini au ngozi yako.
Nimeipenda hiiTanzania ina wahitimu kiasi gani vyuo vikuu vya kimataifa???
Kwani nchi za kiarabu hazina vyuo vikuu??
Au kuhitimu nje tu ndio njia sahihi ya kuwa na elimu??
MBONA UNA MITIZAMO FINYU WE JAMAA???
Au tukuletee vyuo vikuu vya kiarabu uvione??
Umesema Yemeni na Iran na Lebanon? Lebanon na Yemen unajua hali zao sasa zikoje. Nimeweka link hapa na leo ni siku ya 155 ya vita kati ya Israel na wavivu wa kufikiri. Wayahudi waliuliwa milioni 30 na Hitler, shida walizopitia ndio iliwafanya wapambane na kujazana katika taasisi kubwa za kimataifa. Wapalestina wakae chini wajifanye wajinga na wajipange wakiamua waamue. Tatizo tunakazana na wapalestina je unajua technolojia zinazotumika katika vita ya Ukraina na Urusi ? Kuna drone ndogo inakaa kwenye begi inaweza kudondosha grenade kulipua zaidi ya platoon moja kwa siku. Jiulize hii technologia ni rahisi kupewa muisrael au mpalestina. Wapalestina wajifanye wajinga na watulie maana wa-Israel wanawachokoza ili wapate sababu ya kuwamaliza. Ni kutulia na kujipanga kwa ajili ya maamuzi ya muda mrefu.Bado unaongea OP mkuu.
Mzozo wa Palestina na Israel kaufuatilie kuanzia 1946.
Hiyo Israel mbona influence yake kwa Imperialists ilishindwa kufua dafu Yemeni na Iran na Lebanon??
Kuna mpaka wa maji wenye mafuta na gesi Israel alijimilikisha Lebanon ilitia fujo kupitia Hizbollah hakukuchimbwa mafuta wala kuvunwa gesi mpaka mwaka jana wakarudi mezani na kuleta proposal kuwa wagawane ule mpaka wa maji ili wanufaike pamoja.
Doh!!!Umesema Yemeni na Iran na Lebanon? Lebanon na Yemen unajua hali zao sasa zikoje. Nimeweka link hapa na leo ni siku ya 155 ya vita kati ya Israel na wavivu wa kufikiri. Wayahudi waliuliwa milioni 30 na Hitler, shida walizopitia ndio iliwafanya wapambane na kujazana katika taasisi kubwa za kimataifa. Wapalestina wakae chini wajifanye wajinga na wajipange wakiamua waamue. Tatizo tunakazana na wapalestina je unajua technolojia zinazotumika katika vita ya Ukraina na Urusi ? Kuna drone ndogo inakaa kwenye begi inaweza kudondosha grenade kulipua zaidi ya platoon moja kwa siku. Jiulize hii technologia ni rahisi kupewa muisrael au mpalestina. Wapalestina wajifanye wajinga na watulie maana wa-Israel wanawachokoza ili wapate sababu ya kuwamaliza. Ni kutulia na kujipanga kwa ajili ya maamuzi ya muda mrefu.
Hawa vijana wa siku hizi ni kuwaacha kwenye mijadala kama hii ili waendee kujazana ujinga. Yaani anadiriki kusema kabisa mchina hafanyi utafiti?!Unazungumzia copy and paste ama innovation??
Leo nimecheka sana humu ndani aisee kaka.Hawa vijana wa siku hizi ni kuwaacha kwenye mijadala kama hii ili waendee kujazana ujinga. Yaani anadiriki kusema kabisa mchina hafanyi utafiti?!
Hii ajabu!
Safi sanaHii
Hii list ya kubagua bagua utajiri umepatikanaje??
Mngefanya vigezo jumuishi kama msingeona hapo juu waarabu wamekaa kwa list.
Nakushauri DUNIANI BARA MASIKINI NI BARA LA AFRIKA IKIWEMO NCHI YA TANZANIA.
KHERI UNGETIZAMA KIPI KIFANYIKE NA UKATOA USHAURI AFRIKA TUNATATUAJE SHIDA ZETU KULIKO KUHANGAIKA NA WAARABU.
Unaohangaika nao mwaka juzi Qatar imefanya recruitment ya wanasayansi wa China kuja Qatar kuwaelekeza uundaji silaha sambamba na UAE imeunda coalition na kampuni ya South Africa iwafundishe wahandishi wa UAE kuunda silaha.
Wewe nchi yako iko nyuma kwa kila kitu.
Qatar inaalika maprofessa toka China kila leo na Ulaya kuambukiza ujuzi wa kiteknolojia raia wa Qatar.
Taifa lako linafanya nini??
Mi napenda kusema ukweli wakinichukia wanichukie tu. Najua wanaweza nitenga.Nime cheka sana
Vipi waarabu wa Yemen?Elimu ni kwa wasaka tonge mkuu, kama unatonge unawapa kazi wasakaji, badala ya wewe kulihangaikia, ndo maana Kazi ya America ni kubuni Sports Car ila watumiaji ni hao wasio na elimu.
Kumbuka engineer hawezi miliki Lamborghini wala Porsche.
Yale mafuta wanachimba makafir. Tena wanachimba huko uarabuni kwao wamahifadhi tu kwanza. Waulize wametengeneza machine ngapi sisi waarabu. Kama Gold inavyochimbwa huku na sisi weusi hatuna lolote angalau waarabu wana pata pata si haba.Waarabu wana mafuta. Hawana shida ya kuumiza vichwa kusolve physics
Wanashangaza sana!Leo nimecheka sana humu ndani aisee kaka.
🤣🤣🤣🤣
Nazungumzia ku-copy na ku-pasteUnazungumzia copy and paste ama innovation ?
Sijipendekezi kwa wazungu ila naongea ukweli kwamba kuna kitu kinaitwa humanitarian acts. Wazungu wanazitthamini sana kuliko ncho zozote. Wazungu watakubagua na kukupa tabu kama hauna taaluma na hautaki kujiendeleza kitaaluma. Lakini kama una proffesion hawawezi kukubagua utaishi kama wao na kama ukikaza matako utawazidi.Wewe unaona ujanja ni kujipendekeza kwa wazungu, thats your mentality obvious utaona solution ya Wapalestina ni wao kuwa watumwa wa wazungu.
Narudia tena wewe umesema wapalestina Wakijaza coaster ya Viongozi itasolve huo Mgogoro, wahindi wanajaza coaster 10 ama 100 zimewasaidia nini?
Wa Iran leo wamemdindia Marekani miaka kibao si kwa kujaza coaster, Urusi hajazi coaster, Mchina Hajazi coaster etc. Waache wanaume wapambane, kama mtu alikua mkimbizi miaka 50 iliopita na sasa hivi ni raisi mwenye nguvu ya kupigana na cartel za madawa ya kulevya ambazo zipo supported na West huyo sio mjinga mjinga kama unavyofikiria wewe, ni watu wenye plan zao.
Viongozi wa west hawajawahi kamwe kuwa decision makers, hapo Usa kuna Mass shooting za maana, watoto wadogo wanamiliki Bunduki, hazipigwi marufuku sio sababu Wa Marekani majority wanazitaka, Bali hao wanaotengeneza silaha wana nguvu kushinda senate na maraisi wa hio Nchi, hao ndio viongozi halisi wa hizo nchi na sio puppets unaowaona kwenye tv. Kushindana nao unahitaji akili kubwa na sacrifice akili kisoda haiwezi elewa.
Naomba uniletee uvumbuzi mkubwa ambao china imefanya ndugu yangu siongei ushabiki. Taiwan imewazidi china katika uzalishaji wa SMC(Semi Conductor Chips) kwa sababu hio technology inahitaji constant research na innovation kitu ambacho china hawezi kukifanya.Hawa vijana wa siku hizi ni kuwaacha kwenye mijadala kama hii ili waendee kujazana ujinga. Yaani anadiriki kusema kabisa mchina hafanyi utafiti?!
Hii ajabu!
China ni LEADER OF INNOVATION.Nazungumzia ku-copy na ku-paste
Sijipendekezi kwa wazungu ila naongea ukweli kwamba kuna kitu kinaitwa humanitarian acts. Wazungu wanazitthamini sana kuliko ncho zozote. Wazungu watakubagua na kukupa tabu kama hauna taaluma na hautaki kujiendeleza kitaaluma. Lakini kama una proffesion hawawezi kukubagua utaishi kama wao na kama ukikaza matako utawazidi.
Naona umeuliza "wahindi imewasaidia ?" nini naomba nikuulize ushawahi kusikia kuna mgogoro wowote ndani ya India ? Lakini mambo kwa ground India ina matatizo mengi na makubwa sana lakini hatuyaoni yakisemwa hata U.N. Kuna ubaguzi wa kiislamu na kitabaka na ubakaji mkubwa sana India lakini haya mambo hayasemwi. Unajua India kuna matabaka ya wafanyabiashara, viongozi n.k. Yaani kuna tabaka linaitwa Dalit ukizaliwa katika tabaka hilo kazi yako ni kufanya usafi mpaka kufa. Hauwezi kufanya kazi nje ya tabaka lako. Hivi vitu watanzania hatujui tunakazana kuwaona wahindi wana akili kuliko sisi.
Umeongelea kuhusu Iran, wa-Iran wamejazana Ulaya na Marekani. Tena wa-Iran wana akili sana wakija huku kuna maisha bomba kuliko ya Nyumbani warudi kwa ajili ya nini ? Nguvu ya Marekani na Ulaya mnaiona ya kawaida sana. Hizo nchi mnazozitetea haziwathamini watu kutokana na uwezo wao au vipaji vyao. Lakini hivyo vitu wanavipata Marekani na Ulaya. Bila watu Imara kichwani mtaanzaje ku-influence dunia ?
Decision Makers wa west sio viongozi wa kisiasa kama watanzania bali matajiri na makampuni makubwa katika ncho zao. Ndio maana nilikuambia kuwa wahindi, wakorea na wataiwan wanakimbiza ligi ya kuwa viongozi wa haya makampuni. Na nikakusisitizia ili Wapalestina wafike mbali wakazane na shule na sio Madrasa. Ulaya mzima waarabu ndio wanaongoza kwa biashara za dawa za kulevya.
Wayahudi waliouliwa na Hitler leo hii ni pro palestine, wanaoua wapalestina leo ni zionist, Zionist na Nazi ni Chanda na Pete, hebu nitafute holocaust survival leo ambaye sio pro palestine utakesha siku nzima.Umesema Yemeni na Iran na Lebanon? Lebanon na Yemen unajua hali zao sasa zikoje. Nimeweka link hapa na leo ni siku ya 155 ya vita kati ya Israel na wavivu wa kufikiri. Wayahudi waliuliwa milioni 30 na Hitler, shida walizopitia ndio iliwafanya wapambane na kujazana katika taasisi kubwa za kimataifa. Wapalestina wakae chini wajifanye wajinga na wajipange wakiamua waamue. Tatizo tunakazana na wapalestina je unajua technolojia zinazotumika katika vita ya Ukraina na Urusi ? Kuna drone ndogo inakaa kwenye begi inaweza kudondosha grenade kulipua zaidi ya platoon moja kwa siku. Jiulize hii technologia ni rahisi kupewa muisrael au mpalestina. Wapalestina wajifanye wajinga na watulie maana wa-Israel wanawachokoza ili wapate sababu ya kuwamaliza. Ni kutulia na kujipanga kwa ajili ya maamuzi ya muda mrefu.