Kwa hiyo hayo mafuta yanachimbwa na wahifadhi juzuu?
Wanaajiri watu wawawachimbie.
Ukiwa na hela unaajiri wataalamu wakufanyie kazi uzidi kupata mahela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hayo mafuta yanachimbwa na wahifadhi juzuu?
Palestina itakomboka tu its just a matter of time mkuu kwani haki ina tabia ya kushinda siku zote, na muda ni mwalimu mzuri hata kama siyo kwa kizazi chetu , mimi nina mavyeti mengi ila sithubutu kumdharau mtu asiyekuwa na vyeti kwasababu mungu ametuumba tofauti na kila mtu na kipaji chake hawa kina abood na bakhresa hawana vyeti kama sisi ila ndio wameshikilia uchumi wa nchi.Hivyo vitu vitasaidia ninikatika kuikomboa Palestina ?
Sasa huyo waziri mkuu wa scotland yuko mmoja wangekuwa hata wapalestina wanaojaza coaster moja katika Bunge la EU mbona Israel wangeshaondoka muda tu. Tatizo wapalestina hawana malengo ya muda mrefu unamchokoza Israel wakati bado hauna influence. Kwa fursa walizo nazo wapalestina wangekomaa na shule wangekuwa zaidi ya Rosthchilds leo hii. Nilikuja huku kwa Visa ya kusoma lakini tambua kama nchi yako ina majanga ni rahisi kupewa hifadhi na kuwa raia wa ulaya na Marekani. Waaarabu ni wazembe narudia tena wazembe kupita kiasi. Unaongea baada ya miaka 20-30 hao South -America wana technology gani ? Kwa nini advancement ya technology ipo Marekani na Ulaya na sio Uarabuni ? Kuna mambo mengi sana, first world countries wamefungua nchi uwe muhindi, muarabu au mwafrika ukikaza unatoboa. Nenda uarabuni hata ukomae kivipi kama haupo tabaka fulani hautoboi.Wahindi wana influence gani? Kuwepo kwao kwenye hizo nchi kumewasaidia nini? Tatizo lenu mnakariri sana. Huyo Waziri mkuu Wa Scotland si Ana familia Palestina amesaidia nini? We all know wanasiasa wa west wapo gama geresha viongozi wa hizo nchi sio wanasiasa, wayahudi wana mahusiano Na Viongozi halisi wa hizo nchi kina Rothschild na sio hao viongozi hewa.
Unapambana vipi na kina Rothschild? Palestina akiwa waziri mkuu ataweza kukomesha vita ama atakua waziri mkuu hewa? Jibu unalo.
Ndio maana unaona Wapalestina walienda South na sio North, sababu wewe unaangalia kivuli chako kilipoishia huwezi elewa mkuu, angalia mbali, nchi za South America sasa hivi zinakuwa kwa kasi mno, zimeshapita nchi za Ulaya mashariki kina Ukraine, Georgia etc hawajafikia uchumi wa west ila wapo karibu, Same kwa Asia Kina China, Vietnam, Malyasia, Indonesia, Thailand etc wote hawa Wanakua. Baada ya miaka 20-30 baadae wote hawa watakua na say ya kitu gani kifanyike duniani na wazungu wa Ulaya na Marekani itabidi wasikilize.
In capitalism the power on information overcomes money or capital. Mafuta ya Uarabuni bila dollar ya Mmarekani hayana thamani. Mimi simdharau mtu hajasoma, lakini nakuahidi mtu ambaye hana shule kichwani hata akiwa na hela hana malengo ya muda mrefu. Tajiri asiye na kitu kichwani akifa kila kitu kinakufa nae tujifunze kuweka malengo ya muda mrefu. Ninamkubali mtu ambaye hajasoma lakini anajua mahali alipopelea na anawekeza nguvu ajifunze. Kuna matajiri kama Mzee Thomas Lymo na Ibrahim Ambwere wa Kenya. Hawa hawajasoma lakini wako smart sana na waligundua kuna vitu lazima wajifunze wao wenyewe. Hawa matajiri wakikuwambia muda na nguvu waliotumia kujifunza kiiingereza miaka hio utagundua kuwa maisha yamerahisishwa sana siku hizi. Nimeshawahi kufanya nao kazi namshukuru Mungu kwa kunikutanisha nao.Palestina itakomboka tu its just a matter of time mkuu kwani haki ina tabia ya kushinda siku zote, na muda ni mwalimu mzuri hata kama siyo kwa kizazi chetu , mimi nina mavyeti mengi ila sithubutu kumdharau mtu asiyekuwa na vyeti kwasababu mungu ametuumba tofauti na kila mtu na kipaji chake hawa kina abood na bakhresa hawana vyeti kama sisi ila ndio wameshikilia uchumi wa nchi.
Mbowe hana vyeti ila wale wajuaji wa chadema makapuku na mavyeti yao hawafurukuti kwake its a capitalism world
Umejizungumzia sana wewe aisee na kuni attack personally,una uhakika gani kama mimi masikini??Asante sana nipo ujerumani ninasoma huku nafanya kazi katika kiwanda cha continental ninangia ofisini mara mbili kwa wiki. Na mwaka jana nilipokea tuzi ya mfanyakazi bora wa mwaka. Ninasomea Industrial Engineering and Management nategemea kumaliza research yangu mwakani 2025. Nikimaliza nitafanya PhD, wajerumani wananiheshimu sana kwa kazi ninayoifanya. Nikimaliza nina mpango wa kurudi nyumbani nifungue kiwanda. Usiseme Afrika itabaki masikini mpaka kiama jipige kifuani sema "mimi nitabaki masikini mpaka kiama". Kuna kitu kinaitwa focus mimi ninafocus kwenye kazi yangu kwa asilimia mia moja. Nilifika huku mwaka jana mwezi wa tatu lakini sasa ninaongea kijerumani vizuri. Kuna watu wana miaka kumi huku lakini wanang'ang'ania lugha zao na wanalalamika kuwa wanakosa kazi nzuri. Haijalishi wewe ni dini, kabila au tabaka gani huku ukikomaa unatoboa. Nina maboss ambao wanatumia Cocaine, Ketamine, Marijuana na wengine ni mashoga na wasagaji . Mimi siviafiki hivyo vitu lakini kwenye kazi nakubali kuwa ni wachapakazi japokuwa nje ya kazi siwezi kuwa na urafiki nao. Afrika ni sawa na wapalestina tuna malengo ya muda mfupi hatuna malengo ya muda mrefu. Ukifuatilia mpango wa Israel wayahudi hawakuamka asubuhi na kuamua iwe hivyo. Wali-infiltrate serikali za mataiffa makubwa.
Mzozo wa Palestina kuteseka hauhusiani na Palestina kukosa mipango ya muda mrefu.Sasa huyo waziri mkuu wa scotland yuko mmoja wangekuwa hata wapalestina wanaojaza coaster moja katika Bunge la EU mbona Israel wangeshaondoka muda tu. Tatizo wapalestina hawana malengo ya muda mrefu unamchokoza Israel wakati bado hauna influence. Kwa fursa walizo nazo wapalestina wangekomaa na shule wangekuwa zaidi ya Rosthchilds leo hii. Nilikuja huku kwa Visa ya kusoma lakini tambua kama nchi yako ina majanga ni rahisi kupewa hifadhi na kuwa raia wa ulaya na Marekani. Waaarabu ni wazembe narudia tena wazembe kupita kiasi. Unaongea baada ya miaka 20-30 hao South -America wana technology gani ? Kwa nini advancement ya technology ipo Marekani na Ulaya na sio Uarabuni ? Kuna mambo mengi sana, first world countries wamefungua nchi uwe muhindi, muarabu au mwafrika ukikaza unatoboa. Nenda uarabuni hata ukomae kivipi kama haupo tabaka fulani hautoboi.
Waisrael kwa akili hilo halina shaka tokea dahari, Korea Kusini ni nchi ambayo inasemekana ina mfumo bora wa elimu duniani.Hata vinchi vidogo kama Israel na South Korea wapo kwenye hio list na wanafanya vizuri kiuchumi
Unavyoona walipotokea waarabu miaka hiyo ambako walidharaulika duniani hadi leo wazungu wanawauzia na kuwamilikisha vitu vyao muhimu kama airport na bandari ni kitu kidogo?In capitalism the power on information overcomes money or capital. Mafuta ya Uarabuni bila dollar ya Mmarekani hayana thamani. Mimi simdharau mtu hajasoma, lakini nakuahidi mtu ambaye hana shule kichwani hata akiwa na hela hana malengo ya muda mrefu. Tajiri asiye na kitu kichwani akifa kila kitu kinakufa nae tujifunze kuweka malengo ya muda mrefu. Ninamkubali mtu ambaye hajasoma lakini anajua mahali alipopelea na anawekeza nguvu ajifunze. Kuna matajiri kama Mzee Thomas Lymo na Ibrahim Ambwere wa Kenya. Hawa hawajasoma lakini wako smart sana na waligundua kuna vitu lazima wajifunze wao wenyewe. Hawa matajiri wakikuwambia muda na nguvu waliotumia kujifunza kiiingereza miaka hio utagundua kuwa maisha yamerahisishwa sana siku hizi. Nimeshawahi kufanya nao kazi namshukuru Mungu kwa kunikutanisha nao.
And yet they depend on Western technology to harness their natural wealthUkiwa na akili huitaji vyeti mkuu vyeti ni kwa ajili ya kuajiriwa tu, hao unaosema hawana akili ukiangalia walipotoka na sasa na wanapoelekea utaona huyo mwenye vyeti keshasalimu amri
Hakuna aliyeamini kwamba kuna siku muarabu atakuwa mmiliki wa leading airport duniani yani heathrow.
Hakuna aliyeamini kwamba all major events duniani zitafanyika uarabuni, ngumi za joshua na zote kumbwa zimefanyika uarabuni.
Hakuna aliyeamini kwamba world best player ronaldo angecheza uarabuni na wengine wakafuata.
AKili na vyeti ni vitu viwili tofauti , gsm na bakhressa wanacontrol uchumi wa nchi yako na hawana vyeti ila wana akili
Hao jamaa utaumiza kichwa tu ,😅😅yaani kuna mambo hwajui bado,nilimuona chizi eti anafananisha israel na saudiaSijui lini waarabu wataachwa kuwawasha ninyi majamaa.
Saudi Arabia ina world ranked universities pia.
HIvyo sio lazima mpaka waende wakajazane Havard acha uzwazwa.
View attachment 2929563View attachment 2929564
Ndio maana ya kutegemeana hata leo hutegemei kumkuta tajiri akifagia uwanja wa nyumba yake hiyo ni kazi ya kijakaziAnd yet they depend on Western technology to harness their natural wealth
Imagine mtu anakwambia kuwin katika hii dunia lazima uwe umeji infiltrate kwenye mataifa ya Imperialists.Hao jamaa utaumiza kichwa tu ,😅😅yaani kuna mambo hwajui bado,nilimuona chizi eti anafananisha israel na saudia
Washamba kinoma ,yaani wanadanganywa sana ukweli hawajui ..zipo documentaries nyingi za usomi dunianiImagine mtu anakwambia kuwin katika hii dunia lazima uwe umeji infiltrate kwenye mataifa ya Imperialists.
Aisee hii ni hatari sana.
Ah ukiwapa hoja wana hamahama.Washamba kinoma ,yaani wanadanganywa sana ukweli hawajui ..zipo documentaries nyingi za usomi duniani
Umejizungumzia sana wewe aisee na kuni attack personally,una uhakika gani kama mimi masikini??
Wacha huko nikuache sina muda wa kujitapa,Africa hamuwezi jifananisha hata na Palestina,na ili kufanikiwa sio mpaka uji infiltrate katika mataifa makubwa.
Kamfuatilie Yasser Arafat utaelewa Palestina ni jamii ya aina gani.
Kwani Turkiye iliji infiltrate mataifa makubwa??
Kwani Singapore iliji infiltrate mataifa makubwa???
Hayo mataifa yafuatilie yana msingi imara kielimu na kitamaduni na wana focus za mbele na misingi imara katika uongozi ndio maana wakafika mbali.
Hivi unaweza amini miaka ya 1990s Tz na Qatar hatukupishana sana kiubavu ila sasa hivi Qatar ni taifa la kitajiri???
Afrika mkiondoa umimi,ulafi wa madaraka na ukibaraka mtaendelea siku moja.
Pia mbona unashikilia sana dini aisee shida nini??
Airport ni biashara za kizamani hauwezi kulinganisha airport na Nasa au Space X. Kuna biashara unaweza ukaziendesha kwa hela tu na kuna zingine zinahitaji akili na taaluma.Unavyoona walipotokea waarabu miaka hiyo ambako walidharaulika duniani hadi leo wazungu wanawauzia na kuwamilikisha vitu vyao muhimu kama airport na bandari ni kitu kidogo?
At the end of the day ukifanikiwa wenye hela watakuja kununua tu acha hawa sijui nasa wahangaike mwisho wa siku wanawekewa mzigo mezani wanauza ndio maisha yalivyoAirport ni biashara za kizamani hauwezi kulinganisha airport na Nasa au Space X. Kuna biashara unaweza ukaziendesha kwa hela tu na kuna zingine zinahitaji akili na taaluma.
Nimekaa na wayahudi na waarabu, hivi unajua kuna nyumba za Israel vinauzwa katika masynagogue huku ulaya na Marekani ? Hizi nyumba na apartment zimejengwa katika ardhi ambayo wapalestina wamefukuzwa. Tatizo mnakesha mitandaoni mnadhani mnajua kila kitu 😂 😂 😂 😂 .Imagine mtu anakwambia kuwin katika hii dunia lazima uwe umeji infiltrate kwenye mataifa ya Imperialists.
Aisee hii ni hatari sana.
Ukiwa mjinga utauza kitu potential kwako ukiwa na malengo ya muda mrefu hauwezi kuuza kitu muhimu. Wachina nao hawako nyuma kuwekeza Ulaya na Marekani kama waarabu. Lakini ukifuatilia hawa wote wameishia kuwekeza katika biashara za kikuda ambazo hazina research and development potential.At the end of the day ukifanikiwa wenye hela watakuja kununua tu acha hawa sijui nasa wahangaike mwisho wa siku wanawekewa mzigo mezani wanauza ndio maisha yalivyo