Kwa hio mafuta ndio MwishoWaarabu wana mafuta. Hawana shida ya kuumiza vichwa kusolve physics
Hata vinchi vidogo kama Israel na South Korea wapo kwenye hio list na wanafanya vizuri kiuchumiElimu ni kwa wasaka tonge mkuu, kama unatonge unawapa kazi wasakaji, badala ya wewe kulihangaikia, ndo maana Kazi ya America ni kubuni Sports Car ila watumiaji ni hao wasio na elimu.
Imenichoma moyoni. DaahKumbuka engineer hawezi miliki Lamborghini wala Porsche.
Pesa za mawazo mkuu, uchumi wao umejengwa kwa hela za kujitafuta, ndo maana nimeweka mfano, ukienda Hayo mataifa uliyotaja hayako katika top spenders wa pesa make pesa zao za mawazo mawazo tu.Hata vinchi vidogo kama Israel na South Korea wapo kwenye hio list na wana uchumi mkubwa kuzidi nchi za kiarabu , ni wasakatonge ?
Nani kakudanganya? Hujui kwamba Elon Musk ni Engineer?Kumbuka engineer hawezi miliki Lamborghini wala Porsche.
Usemayo ni kweli kabisa, lakini je ni asilimia ngapi ya ma engineer hata wa nchi zingine waliojiajiri na kufanya hayo uyasemayo!?Nani kakudanganya ? hujui kwamba Elon Musk ni Engineer ?
Hujui kwamba Marehemu Mengi alikuwa muhasibu ?
Tatizo Tanzania mtu akisoma tumekariri anaishia kuajiriwa tu, hizi taaluma unaweza kujiajiri ukapiga pesa kuzidi alieajiriwa na ukiwa na ideas watu / taasisi wanaweza kuziwekeza, unaweza kupewa mkopo wa kuzitekeleza, kupewa grants, n.k.
Kulikuwa na muhasibu pale TRA alibuni mfumo wa wa kihasibu wa kuuza gesi, mfumo huu aliuuza kwa bilioni 50+ kwa sasa anakula maisha tu.
Malizia na swali kwanini wapalestina wanauliwa kila siku na hakuna mtu anaewatetea? Ndio utajua umuhimu wa elimu.wanapuuza elimu ?
uwezo mdogo wa darasani ?
hawataki elimu dunia ?
Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo
Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard
Havard Alumni
View attachment 2929507
Elimu ni kitu muhimu sana, Elon Musk ni Engineer,, hata Marehemu mengi alikuwa muhasibu, n.k.
Tatizo Tanzania mtu akisoma tumekariri anaishia kuajiriwa tu, hizi taaluma unaweza kujiajiri ukapiga pesa kuzidi alieajiriwa na ukiwa na ideas watu / taasisi wanaweza kuziwekeza, unaweza kupewa mkopo wa kuzitekeleza, kupewa grants, Kulikuwa na muhasibu pale TRA alibuni mfumo wa wa kihasibu wa kuuza gesi, mfumo huu aliuuza kwa bilioni 50+ kwa sasa anakula maisha tu, n,k. n.k.
Tanzania ina wahitimu kiasi gani vyuo vikuu vya kimataifa???wanapuuza elimu ?

Sasa mkuu, unataka kunambia wapalestina ni elimu ndio inafanya wakose wa kuwatetea.....!?Malizia na swali kwanini wapalestina wanauliwa kila siku na hakuna mtu anaewatetea ? Ndio utajua umuhimu wa elimu
Sijui lini waarabu wataachwa kuwawasha ninyi majamaa.wanapuuza elimu ?
uwezo mdogo wa darasani ?
hawataki elimu dunia ?
Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo
Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard
Havard Alumni
View attachment 2929507
Elimu ni kitu muhimu sana, Elon Musk ni Engineer,, hata Marehemu mengi alikuwa muhasibu, Mo Dewji kasoma Kusimamia biashara, n.k.
Tatizo Tanzania mtu akisoma tumekariri anaishia kuajiriwa tu, nikufahamishe kwamba hizi taaluma zinaweza kuchapisha pesa ndefu sana, ukiwa na ideas watu / taasisi wanaweza kuziwekeza, unaweza kupewa mkopo wa kuzitekeleza, kupewa grants japo kwa nchi zetu ni adimu lakini mfano mdogo kulikuwa na muhasibu pale TRA alibuni mfumo wa wa kihasibu wa kuuza gesi, mfumo huu aliuuza kwa bilioni 50+ kwa sasa anakula maisha tu, n,k. Nchi kama Israel wahitimu wanaanzisha startups wanaziuza kwa mabilioni, n.k
Usemayo ni kweli kabisa, lakini je ni asilimia ngapi ya ma engineer hata wa nchi zingine waliojiajiri na kufanya hayo uyasemayo.....!?
Swala linarudi pale pale wengi wanasubiria mishahara tu.
Ndo maana wafanyakazi wengi wa Dubai ni Wahindi na wazungu hao walosoma Havard. na wanalipwa na hao waliokataa kwenda shule.
Ndivyo mnavyojidanganya!?Acha watu wa watu wakomae na Juzuu, kwanza Wao hawana shida na Chuo, chuo wanasoma hata wakiwa chekechea, wanapiga 2 in 1, na kaleti anakupiga.