Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Kwa hiyo kama hana akili asiambiwe?
Jamaa ana sema kila binadamu ajitegemee alafu wakati huo anajigamba kuwa kwenye nchi za watu anaganga njaa.
Mkuu kwani wewe una akili?
 
Unajua maana ya ukimbizi? Mtu anaenda airport kwa amani,anakabidhi mzigo wowote ambao utahitaji kuingia kwenye eneo la ndege kwa ajili ya ukaguzi , ikiwa anasafiri na mizigo. Anapiitia milango ya usalama ya uwanja wa ndege hadi boarding lounge. Anatafuta na kuingia boarding gate anapanda ndege na kuruka hadi anakoenda,
unasema anakimbia vita are you serious ? Unajua maana ya vita ? Unajua maana ya Mkimbizi(Refugee) ? Kuna mkimbizi aliishi ndani ya uwanja wa ndege wa Charkes De Gaulle zaidi ya miaka 17 kama nyumbani kwake.
 
Wale watu wanapanda ndege kwenda Ulaya na Marekani kisha wanaomba ukimbizi au raia wa Ukraine wanakimbilia Ulaya kwa ndege hawana sifa ya ukimbizi???
 
Wale watu wanapanda ndege kwenda Ulaya na Marekani kisha wanaomba ukimbizi au raia wa Ukraine wanakimbilia Ulaya kwa ndege hawana sifa ya ukimbizi???
Asante sana naomba taarifa ya wayahudi walioomba ukimbizi katika nchi walizofikia naomba uzitume hapa ? Au kama hauzipati leta data ya wayahudi ambao ni wakimbizi kutoka UNHCR.
 
Embu soma definition of refugee.
Uondoke kwa amani ama laa ila kitendo cha wewe kuondoka nchini mwako kwa kukimbia vita,vurugu ama sababu zozote za kiusalama wewe ni mkimbizi.
UKIMBIZI UNAANGALIWA SABABU HAIANGALIWI UMEONDOKAJE.
MALAKI YA WAISRAEL WALIPANDA NDEGE KWENDA ULAYA NA KUIACHA NCHI YAO KWASABABU ZA KIVITA NA KIUSALAMA.
NA HIYO NDIO MAANA HALISI YA UKIMBIZI.
 
Wale watu wanapanda ndege kwenda Ulaya na Marekani kisha wanaomba ukimbizi au raia wa Ukraine wanakimbilia Ulaya kwa ndege hawana sifa ya ukimbizi???
Asante sana naomba taarifa ya wayahudi walioomba ukimbizi katika nchi walizofikia naomba uzitume hapa ? Au kama hauzipati leta data ya wayahudi ambao ni wakimbizi kutoka UNHCR.
Wewe umesema mkimbizi hawezi kwenda airport wewe s uko ujerumani soma hii.

 
Asante sana naomba taarifa ya wayahudi walioomba ukimbizi katika nchi walizofikia naomba uzitume hapa ? Au kama hauzipati leta data ya wayahudi ambao ni wakimbizi kutoka UNHCR.
Wataombaje ukimbizi ilhali wayahudi wana favor ya kuingia Ulaya na USA??
Kama sio wakimbizi kwanini walikimbia nchi vita ilipopamba oktoba 7 2023?
Swali je wamekimbia nchi kwasababu ya vita au hawajakimbia??
Embu tupe jibu.
 
Eee bwnae wewe unatetea dini hautetei ukweli ndugu yangu. Nimekuambia uniletee taarifa za UNHCR kuhusu wayahudi ambao ni wakimbizi(refugees) unaniletea maana ya ukimbizi. Unataka kuniambia UNHCR hawajui maana ya wakimbizi ? Mimi sitetei Ujinga mtu hata kama ni ndugu yangu akikosea namwambia ajirekebishe. Unatetea kitu ambacho hakipo. Unashindwa kukubali ukweli huko nyuma ulijikwaa ukaukubali ukweli.

Tufanye kuwa WaIsraeli wanateseka na wanaaonja Joto ya Jiwe naomba ulete data za UNHCR kuwa Israel imepigwa mpaka wayahudi wamekuwa wakimbizi any time from 1948-2024. Ninasubiri ndugu yangu.
 
Nimesema leta data ya Israel unahama na kuniletea data za Ukraine ? Vipi tena, maana wewe ulisema Israel alipigwa mpaka akajua kuwa Iran na waarabu sio watu wa mchezo. Naomba uniletee taarifa ya wayahudi wakimbizi nasubiri ?
 
Ama kweli we kichwa cha mwendawazimu.
ITOSHE KUSEMA NIMEMALIZA MJADALA NA WEWE WACHA NIKU IGNORE.
MAANA MIE SIPENDI MTU MBISHANI.
USHAELEZWA NA USHAHIDI UMEPEWA WAISRAEL ZAIDI YA 400000 WAMEKIMBIA KWENDA USA KISA VITA YA OKTOBA 2023.
WACHA NIKU IGNORE NIJADILIANE NA WANAOJIELEWA
 
Asante kwa kuniiita kichwa cha mwendawazimu. Umesema walikimbia waliomba hifadhi Marekani ? Ulihamisha mada ukaleta Raia wa ukraine. Raia wa ukraine waliomba hifadhi Berlin Ujerumani. Unadiriki kuwaitaje wayahudi wakimbizi wakati hawajaomba hifadhi katika nchi walioshukia ?
 
A number of Israelis have migrated to Portugal as “refugees” after Lisbon offered Israelis “easy and convenient” immigration procedures that could be completed in less than 24 hours.

Hebrew Channel 12 said all an Israeli needs to apply for asylum in Portugal is a valid passport, to issue a “refugee” visa that allows residence and work in the country.

The Israeli refugees in Portugal will also be able to obtain financial assistance from the government, which many of them have accepted, according to the source.

Yaron, who took refuge in Portugal and lives in Lisbon, said he went to the immigration office, and when they learned that he was from Israel, he was able to obtain a “refugee” visa within hours. The visa must be renewed every two months.

 
Ripoti nyingine hiyo hapo kaka ya Waisraeli wakikimbia nchi kuelekea Cyprus baada ya vita na Hamas kupamba moto.
Je huo sio ukimbizi????
Unamueleza mtu anakwambia mara ooh lete ripoti ya UNHCR.
LABDA WATU WATUSAIDIE HUMU NDANI JE HUU SIO UKIMBIZIIII???
 
Kaka tafuta kazi za kufanya huyo atakuumiza kichwa bure tu.
Hapana sipendi kuona Ujinga unasambazwa kwa sababu watu wamekosa maarifa. Watanzania wengi wanadhani vitu haviundwi bali vinaelea. Unaona Israel unadhani wayahudi ni watu waliamka siku moja na kuamua kuiweka Palestina katika himaya yao. Israel ni mpango wa muda mrefu, kuweka himaya katika nchi ya mtu toka 1948 sio kitu kidogo.Kuna msemo wa kiingereza nilisema "if everywhere you go smells like shit, maybe it's time to check your shoes". Palestina kama nchi inabidi irudi nyuma na ijitambue kuwa kuna mahala wameteleza. Kuna video ya matukio kibao yanayoendelea huko Israel ambayo siwezi kuweka huku. Ila kama ningeyaweka nakuahidi ungeomba Mungu waPalestina waache kupigana na waondoke mara moja huko.
 
Mama kizimkazi akiona hii 👆 at mind Sana , Una watukana ma uncle zake
 
Israeli lawyer, Nofer Bar, said that among those leaving were Israelis who survived the attacks of 7 October and who were no longer able to imagine living in Israel.

While many young people, he explained, saw asylum in Portugal as an opportunity to work and live in Europe later.

Portugal, he added, may change the law at any time and is no longer accepting asylum requests, instead refugees must wait for an interview date to finally decide on their status.

Wewe endelea kukataa tu😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…