Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Mkuu kwani wewe una akili?Kwa hiyo kama hana akili asiambiwe?
Jamaa ana sema kila binadamu ajitegemee alafu wakati huo anajigamba kuwa kwenye nchi za watu anaganga njaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani wewe una akili?Kwa hiyo kama hana akili asiambiwe?
Jamaa ana sema kila binadamu ajitegemee alafu wakati huo anajigamba kuwa kwenye nchi za watu anaganga njaa.
Unajua maana ya ukimbizi? Mtu anaenda airport kwa amani,anakabidhi mzigo wowote ambao utahitaji kuingia kwenye eneo la ndege kwa ajili ya ukaguzi , ikiwa anasafiri na mizigo. Anapiitia milango ya usalama ya uwanja wa ndege hadi boarding lounge. Anatafuta na kuingia boarding gate anapanda ndege na kuruka hadi anakoenda,Ushapewa ripoti kuwa kuna malaki ya wayahudi walihama NCHI KISA VITA KUANZIA OKTOBA 7 2023.
NI NINI MAANA YA MKIMBIZI??
AU KWAKO MKIMBIZI MPAKA AWE KACHOKA ,KACHAKAA,HANA HELA WALA NGUO??
Isome vema hiyo ripoti inasema malaki ya waisrael wamekimbia nchi kwasababu ya vita iloanza october 7 2023.
Je huo sio ukimbizi???
Unachekesha we jamaa.
Wale watu wanapanda ndege kwenda Ulaya na Marekani kisha wanaomba ukimbizi au raia wa Ukraine wanakimbilia Ulaya kwa ndege hawana sifa ya ukimbizi???Unajua maana ya ukimbizi mtu anenda airport kwa amani,anakabidhi mzigo wowote ambao utahitaji kuingia kwenye eneo la ndege kwa ajili ya ukaguzi , ikiwa anasafiri na mizigo. Anapiitia milango ya usalama ya uwanja wa ndege hadi boarding lounge. Anatafuta na kuingia boarding gate anapanda ndege na kuruka hadi anakoenda,
unasema anakimbia vita are you serious ? Unajua maana ya vita ?
Asante sana naomba taarifa ya wayahudi walioomba ukimbizi katika nchi walizofikia naomba uzitume hapa ? Au kama hauzipati leta data ya wayahudi ambao ni wakimbizi kutoka UNHCR.Wale watu wanapanda ndege kwenda Ulaya na Marekani kisha wanaomba ukimbizi au raia wa Ukraine wanakimbilia Ulaya kwa ndege hawana sifa ya ukimbizi???
Embu soma definition of refugee.Unajua maana ya ukimbizi? Mtu anaenda airport kwa amani,anakabidhi mzigo wowote ambao utahitaji kuingia kwenye eneo la ndege kwa ajili ya ukaguzi , ikiwa anasafiri na mizigo. Anapiitia milango ya usalama ya uwanja wa ndege hadi boarding lounge. Anatafuta na kuingia boarding gate anapanda ndege na kuruka hadi anakoenda,
unasema anakimbia vita are you serious ? Unajua maana ya vita ? Unajua maana ya Mkimbizi(Refugee) ? Kuna mkimbizi aliishi ndani ya uwanja wa ndege wa Charkes De Gaulle zaidi ya miaka 17 kama nyumbani kwake.
Wale watu wanapanda ndege kwenda Ulaya na Marekani kisha wanaomba ukimbizi au raia wa Ukraine wanakimbilia Ulaya kwa ndege hawana sifa ya ukimbizi???
Wewe umesema mkimbizi hawezi kwenda airport wewe s uko ujerumani soma hii.Asante sana naomba taarifa ya wayahudi walioomba ukimbizi katika nchi walizofikia naomba uzitume hapa ? Au kama hauzipati leta data ya wayahudi ambao ni wakimbizi kutoka UNHCR.
Wataombaje ukimbizi ilhali wayahudi wana favor ya kuingia Ulaya na USA??Asante sana naomba taarifa ya wayahudi walioomba ukimbizi katika nchi walizofikia naomba uzitume hapa ? Au kama hauzipati leta data ya wayahudi ambao ni wakimbizi kutoka UNHCR.
Eee bwnae wewe unatetea dini hautetei ukweli ndugu yangu. Nimekuambia uniletee taarifa za UNHCR kuhusu wayahudi ambao ni wakimbizi(refugees) unaniletea maana ya ukimbizi. Unataka kuniambia UNHCR hawajui maana ya wakimbizi ? Mimi sitetei Ujinga mtu hata kama ni ndugu yangu akikosea namwambia ajirekebishe. Unatetea kitu ambacho hakipo. Unashindwa kukubali ukweli huko nyuma ulijikwaa ukaukubali ukweli.Embu soma definition of refugee.
Uondoke kwa amani ama laa ila kitendo cha wewe kuondoka nchini mwako kwa kukimbia vita,vurugu ama sababu zozote za kiusalama wewe ni mkimbizi.
UKIMBIZI UNAANGALIWA SABABU HAIANGALIWI UMEONDOKAJE.
MALAKI YA WAISRAEL WALIPANDA NDEGE KWENDA ULAYA NA KUIACHA NCHI YAO KWASABABU ZA KIVITA NA KIUSALAMA.
NA HIYO NDIO MAANA HALISI YA UKIMBIZI.View attachment 2932160Sijak
Nimesema leta data ya Israel unahama na kuniletea data za Ukraine ? Vipi tena, maana wewe ulisema Israel alipigwa mpaka akajua kuwa Iran na waarabu sio watu wa mchezo. Naomba uniletee taarifa ya wayahudi wakimbizi nasubiri ?Wewe umesema mkimbizi hawezi kwenda airport wewe s uko ujerumani soma hii.
Arrival: Important information for refugees from Ukraine - Berlin.de
Berlin welcomes you! Below you will find the most important information on entering Germany, residence status and assistance available to you.www.berlin.de
Ama kweli we kichwa cha mwendawazimu.Eee bwnae wewe unatetea dini hautetei ukweli ndugu yangu. Nimekuambia uniletee taarifa za UNHCR kuhusu wayahudi ambao ni wakimbizi(refugees) unaniletea maana ya ukimbizi. Unataka kuniambia UNHCR hawajui maana ya wakimbizi ? Mimi sitetei Ujinga mtu hata kama ni ndugu yangu akikosea namwambia ajirekebisha. Unatetea kitu ambacho hakipo. Unashindwa kukubali ukweli huko nyuma ulijikwa ukaukubali ukweli.
Tufanye kuwa WaIsraeli wanateseka na wanaaonja Joto ya Jiwe naomba ulete data za UNHCR kuwa Israel imepigwa mpaka wayahudu wamekuwa wakimbiza any time from 1948-2024. Ninasubiri ndugu yangu.
Kaka tafuta kazi za kufanya huyo atakuumiza kichwa bure tu.Wewe umesema mkimbizi hawezi kwenda airport wewe s uko ujerumani soma hii.
Arrival: Important information for refugees from Ukraine - Berlin.de
Berlin welcomes you! Below you will find the most important information on entering Germany, residence status and assistance available to you.www.berlin.de
Asante kwa kuniiita kichwa cha mwendawazimu. Umesema walikimbia waliomba hifadhi Marekani ? Ulihamisha mada ukaleta Raia wa ukraine. Raia wa ukraine waliomba hifadhi Berlin Ujerumani. Unadiriki kuwaitaje wayahudi wakimbizi wakati hawajaomba hifadhi katika nchi walioshukia ?Ama kweli we kichwa cha mwendawazimu.
ITOSHE KUSEMA NIMEMALIZA MJADALA NA WEWE WACHA NIKU IGNORE.
MAANA MIE SIPENDI MTU MBISHANI.
USHAELEZWA NA USHAHIDI UMEPEWA WAISRAEL ZAIDI YA 400000 WAMEKIMBIA KWENDA USA KISA VITA YA OKTOBA 2023.
WACHA NIKU IGNORE NIJADILIANE NA WANAOJIELEWA
A number of Israelis have migrated to Portugal as “refugees” after Lisbon offered Israelis “easy and convenient” immigration procedures that could be completed in less than 24 hours.Asante kwa kuniiita kichwa cha mwendawazimu. Umesema walikimbia waliomba hifadhi Marekani ? Ulihamisha mada ukaleta Raia wa ukraine. Raia wa ukraine waliomba hifadhi Berlin Ujerumani. Unadiriki kuwaitaje wayahudi wakimbizi wakati hawajaommba hifadhi katika nchi waioshukia ?
Ripoti nyingine hiyo hapo kaka ya Waisraeli wakikimbia nchi kuelekea Cyprus baada ya vita na Hamas kupamba moto.Wewe umesema mkimbizi hawezi kwenda airport wewe s uko ujerumani soma hii.
Arrival: Important information for refugees from Ukraine - Berlin.de
Berlin welcomes you! Below you will find the most important information on entering Germany, residence status and assistance available to you.www.berlin.de
Twende naye taratibu vitu vingi hafahamu nimekuweke data 😂Kaka tafuta kazi za kufanya huyo atakuumiza kichwa bure tu.
Aaah aisee hatari hii.Twende naye taratibu vitu vingi hafahamu nimekuweke data 😂
Hapana sipendi kuona Ujinga unasambazwa kwa sababu watu wamekosa maarifa. Watanzania wengi wanadhani vitu haviundwi bali vinaelea. Unaona Israel unadhani wayahudi ni watu waliamka siku moja na kuamua kuiweka Palestina katika himaya yao. Israel ni mpango wa muda mrefu, kuweka himaya katika nchi ya mtu toka 1948 sio kitu kidogo.Kuna msemo wa kiingereza nilisema "if everywhere you go smells like shit, maybe it's time to check your shoes". Palestina kama nchi inabidi irudi nyuma na ijitambue kuwa kuna mahala wameteleza. Kuna video ya matukio kibao yanayoendelea huko Israel ambayo siwezi kuweka huku. Ila kama ningeyaweka nakuahidi ungeomba Mungu waPalestina waache kupigana na waondoke mara moja huko.Kaka tafuta kazi za kufanya huyo atakuumiza kichwa bure tu.
Umesahau tendeWaarabu wana mafuta. Hawana shida ya kuumiza vichwa kusolve physics
Israeli lawyer, Nofer Bar, said that among those leaving were Israelis who survived the attacks of 7 October and who were no longer able to imagine living in Israel.Nimefuatilia data zako hazitambuliki na UNHCR na hao sio asylum seekers au wakimbizi. Wakimbizi wanaomba hifadhi na Uraia wa nchi wanayofikia. Kwa nini myahudi aombe hifadhi Portugal wakati anaweza kufika hapo bila visa yeyote ?
View attachment 2932197
👆 👆 👆 Hiyo kijani unayoiona ulaya na Marekani ni nchi ambazo Israel anaweza kwenda bila Visa.
View attachment 2932198