Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
This is in the middle east what about the world ? How many missles are there in all US Military Bases in the middle East ? Do you know the U.S has 5 military bases in Saudia Arabia ? The largest U.S Military base in Middle East is in Qatar ?Acha kunilisha maneno we jamaa.
Sijasema kama Iran ina nguvu kuliko USA embu acha uongo.
Nilichokisema Iran ni threat kwa Israel pale middle East.
Iran hiyo ilishaonesha upinzani toka 1979 ilipopindua serikali rafiki kwa USA.
1980 ikawekewa vikwazo vya kiuchumi.
Kama Iran isingewekewa vikwazo vya kiuchumi ingekua zaidi ya hapa ilipo.
Iran ni tishio kwa maslahi ya USA middle east.
EMbu soma hayo maelezo uelewe silaha za Iran zinamfanya nini USA huko Russia na Ukraine.
Raia wa Iran kukimbilia Ulaya na Marekani kutafuta maisha haiondoi Iran kuwa tishio kwa Israel na jamaa zake.View attachment 2931842View attachment 2931844
Naona unaleta visingizio kama sio hivi kama sio vile, jamani mbona hatuoni nguvu ya waarabu. Waisrael wanauza real estate zitakazojengwa katika ardhi walizonyangwanywa wapalestina. Waarabu wapo wapi ?
Hakuna nchi itaweza kumfikia Marekani hata miaka 300 ipite maana Marekani haikumbatii ujinga. Marekani ukikaza matako unatoboa haijalishi dini, ngozi au nchi yako. Unaongelea Iran nchi ambayo ukiwa Sunni hata upambane vipi hauwezi kufanikiwa. Maana wao ni Shia.