Case Study: Wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka

We tanguliza nguvu za kiume

Wache wenzio watangulize PESA.

Nyie mboga Saba si mnazo Hela shida Iko wapi!?

Acheni sisi kajambana nani!? Tujitafute kwanza maana dharau nyingi sana huku kitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…