Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Hawa ex bodyguards na house helps huwa wanauza sana details na ubaya ni ngumu watu kuwashukuKuna ex bodyguard wake didy Ndio kaongea hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ex bodyguards na house helps huwa wanauza sana details na ubaya ni ngumu watu kuwashukuKuna ex bodyguard wake didy Ndio kaongea hayo
View attachment 2816118
Cassie amefungua kesi ya dola milioni 30 dhidi ya Diddy akimtuhumu kwa ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Mwanadada huyo anasema muda mfupi baada ya kukutana na Diddy mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 19, alianza tabia ya kumdhibiti na kumnyanyasa ikiwa ni pamoja na kumlazimisha kutumia dawa za kulevya, kumpiga na kumlazimisha kulala na malaya wa kiume huku akirekodi filamu hizo.
Kesi hiyo imeibua hisia za watu wengi mtandaoni wakidai kuwa inaweza kuibua watu wengi waliofanyiwa vitendo kama hivyo na Diddy na kudai kuwa inaweza kuwa ndio mwisho wa Diddy.
Diddy asipoangalia yatakuja kumkuta yaliyomkuta R Kelly. Huko mtandaoni watu wameanza kufukua makaburi.Ukishamshtaki mtu hutoichagulia mahakama adhabu na kama kosa ni jinai sio tu madai.
Maana yake Cassie amedhamiria Diddy aende korokoroni. Poor him ana watoto wadogo bado.
Hata hivyo, hawa wanawake wajifunze kuwa watu wa kwenye hii industry ya entertainment kwa ujumla most of them ni Psychos. Kuna vitu huwezi fanya ukiwa sober, lazima kuwe na busta fulani fulani ili mambo yaende. Ni bahati mbaya zaidi kwa weusi kulingana na historia zao za makuzi, mazingira,elimu etc.
They could have known it better. Kama ushahidi utapatikan mbona Watafungwa sana.
Usher alikuwa mzembe tu kama alikuwa anafanyiwa mambo ya ajabu maana hawajapishana sana umri na diddyMaana mama yake usher alimkabidhi usher kwa diddy usher akiwa na umri wa miaka 15 awe ana mentor. So dogo wa miaka 15 alikuwa akiishi na diddy akihang na akina big smalls.
Diddy alikuwa na miaka 24 usher miaka 15 na tayari diddy ana ela anamiliki record label ujana na pesa vinamchanganyaUsher alikuwa mzembe tu kama alikuwa anafanyiwa mambo ya ajabu maana hawajapishana sana umri na diddy
Maana ulivyosema dogo utadhani alikabidhiwa kwa diddy mwenye miaka 60 kumbe wote walikuwa sawa tuDiddy alikuwa na miaka 24 usher miaka 15 na tayari diddy ana ela anamiliki record label ujana na pesa vinamchanganya
Miaka 15 ni minor 24 ni mtu mzima... Ndio maana mama uake baadaye alisema kati ya vitu anavyovijutia ni kumkabidhi mtoto wa miaka 15 alelewe na mtu mwingne.Maana ulivyosema dogo utadhani alikabidhiwa kwa diddy mwenye miaka 60 kumbe wote walikuwa sawa tu