Pre GE2025 CAST VOTE: Kati ya Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Heche nani anafaa kuiongoza CHADEMA kuelekea 2029?

Pre GE2025 CAST VOTE: Kati ya Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Heche nani anafaa kuiongoza CHADEMA kuelekea 2029?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kati ya Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Heche nani anafaa kuiongoza CHADEMA kuelekea 2029.

  • 1. Freeman Aikael Mbowe

    Votes: 23 17.8%
  • 2. Tundu Antipus Lissu

    Votes: 57 44.2%
  • 3. John Wegesa Heche

    Votes: 49 38.0%

  • Total voters
    129
  • Poll closed .
Bado ni sahihi kwa sasa Mbowe kuwa mwenyekiti na Lissu kuwa makamu mwenyekiti.
Hali hiyo hata uitishe uchaguzi leo wana Chadema ambao ni watu wanaojielewa vizuri sana watakudhibitishia.
Tatizo la hoja hizi za kiduanzi ni kauli kali zilizokosa majibu wanazotoa bila woga.
Hivi kuna kiongozi wa chama cha siasa mwingine nchi hii anaweza kutamka haya hadharani?
 
Attachments

  • VID-20240507-WA0007.mp4
    15.4 MB
Bado ni sahihi kwa sasa Mbowe kuwa mwenyekiti na Lissu kuwa makamu mwenyekiti.
Hali hiyo hata uitishe uchaguzi leo wana Chadema ambao ni watu wanaojielewa vizuri sana watakudhibitishia.
Tatizo la hoja hizi za kiduanzi ni kauli kali zilizokosa majibu wanazotoa bila woga.
Hivi kuna kiongozi wa chama cha siasa mwingine nchi hii anaweza kutamka haya hadharani?
Kura zitaongea
 
Tatizo lako unatumia ubabe. Huna polite language. Hivi hujui hata kupata opinion ya mtu kuhusu jambo fulani inabidi uongee politely?
Sasa kama unatoa maoni kunahaja gani ya kupigakura?
 
Back
Top Bottom