Pre GE2025 CAST VOTE: Kati ya Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Heche nani anafaa kuiongoza CHADEMA kuelekea 2029?

Pre GE2025 CAST VOTE: Kati ya Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Heche nani anafaa kuiongoza CHADEMA kuelekea 2029?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kati ya Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Heche nani anafaa kuiongoza CHADEMA kuelekea 2029.

  • 1. Freeman Aikael Mbowe

    Votes: 23 17.8%
  • 2. Tundu Antipus Lissu

    Votes: 57 44.2%
  • 3. John Wegesa Heche

    Votes: 49 38.0%

  • Total voters
    129
  • Poll closed .
Lissu anapaswa kuwa Waziri Mkuu wa Rais fulani lakini kwa nafasi ya Urais HAPANA. Lissu hawezi kuwa Rais. Lissu ni mtu tu wa kutumwa na kutekeleza. Nina ushahidi wa kauli zake nyingi kabla hajapigwa risasi na baada ya kupigwa risasi.

Urais unahitaji mtu mwenye utulivu wa akili, busara na asiye na ghadhabu. Kwenye uongozi tofauti ya Lissu na Magufuli ni ndogo sana.

Kama CHADEMA inaweza kutoa kiongozi mzuri basi ni Mbowe anazo qualities zote. Lakini ni mfanyabiashara. Atatumia fursa zote kujitajirisha kama anavyofanya na fedha na raslimali za chama. Wakishindwa basi John Mnyika
Heche is moderate anafaa kwa urais na uwenyekiti,Lissu hasira mno Magufuli no 2
 
😂😂😂😂

Heche moto🔥🔥🔥

Mbowe ajiuzulu tu.
 
Heche is moderate anafaa kwa urais na uwenyekiti,Lissu hasira mno Magufuli no 2
Mihemeko ya Laigwanan Antipas TUndu Lissu ni kama mkojo wa mbogo.

Boaada ya zile pyu pyu pyu 16, 32, 40-take your pick Tundu Lissu amekuwa kama mbogo sasa.

Wanja la siasa linawasha.

Bora Magufuli.
 
Mihemeko ya Laigwanan Antipas TUndu Lissu ni kama mkojo wa mbogo.

Boaada ya zile pyu pyu pyu 16, 32, 40-take your pick Tundu Lissu amekuwa kama mbogo sasa.

Wanja la siasa linawasha.

Bora Magufuli.
Ila akome kumfuatafuata mama Samia sasa
 
Back
Top Bottom