Mbowe ni kiongozi mzuri sana. Lakini mimi naamini walioweka ukomo wa uongozi wana sababu nzuri sana. Hata uwe kiongozi mzuri namna gani, lakini kuna vitu uta-overlook kama utakaa kwenye madaraka kwa muda mrefu. Na pia una set pecedence mbaya itakayotumiwa na viongozi wengine wenye uchu wa madaraka. Na pia kupata mawazo mapya ni muhimu kwani binadamu huwezi kuwa mzuri kwa kila jambo. Mwisho: fulani anaweza kuwa ni kiongozi mzuri sana, na mkadhani akiondoka hakuna wa kuziba pengo lake, lakini akiondoka akaja mtu mwingine na akawa mzuri kuliko yule mliyedhani ni mzuri sana.