Casto Dickson kaachwa rasmi na Tunda

Casto Dickson kaachwa rasmi na Tunda

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila wambea tulimwambiaga huyu , alivyotuchambaga sasa , mpaka tattoo akajichora mwenyewe , akaona Kafika, wambea tukawa tunahesabu siku tu kama kawaida yetu na kweli yametia , bwana mkubwa naona kapewa cha uso[emoji38]

Ila wanaume wengine bhana , sasa casto kwa akili zako na wewe , na kibarua chako cha utangazaji ukaona unaweza kumtuliza Tunda? Mpaka mtoto wako patrick ukamtekeleza(rest in peace) , ukawa usikii hili wa lile, kutwa unakula bata na tunda, ukatuchamba wambea kuwa tunakuonea wivu maneno kibao , hivi ukisikiliza zile interview now unajisikiaje? Dah maumivu yake nayajua Ila pole ndo ukubwa, naona Tunda kakufilisi kaona huna jipya kaamua kusepa

Kwa aliye na akili timamu, akisoma huu uandikaji wa casto , jinsi alivyoandika kwa hekima ni dhahiri kaka yetu Hana chake tena , tatizo wambea tukiwaonya mnaleta midomo na kujifanya wajuaji, sasa ile tattoo sijui utafanyaje maskini🤣🤣🤣
 
Kwa aliye na akili timamu, akisoma huu uandikaji wa casto , jinsi alivyoandika kwa hekima ni dhahiri kaka yetu Hana chake tena , tatizo wambea tukiwaonya mnaleta midomo na kujifanya wajuaji, sasa ile tattoo sijui utafanyaje maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko na castor APA ndo tunasubiri Pasi ipate moto ili tusolve ishu ya tattoo
 
Ila wambea tulimwambiaga huyu , alivyotuchambaga sasa , mpaka tattoo akajichora mwenyewe , akaona Kafika, wambea tukawa tunahesabu siku tu kama kawaida yetu na kweli yametia , bwana mkubwa naona kapewa cha uso[emoji38]

Ila wanaume wengine bhana , sasa casto kwa akili zako na wewe , na kibarua chako cha utangazaji ukaona unaweza kumtuliza Tunda? Mpaka mtoto wako patrick ukamtekeleza(rest in peace) , ukawa usikii hili wa lile, kutwa unakula bata na tunda, ukatuchamba wambea kuwa tunakuonea wivu maneno kibao , hivi ukisikiliza zile interview now unajisikiaje? Dah maumivu yake nayajua Ila pole ndo ukubwa, naona Tunda kakufilisi kaona huna jipya kaamua kusepa

Kwa aliye na akili timamu, akisoma huu uandikaji wa casto , jinsi alivyoandika kwa hekima ni dhahiri kaka yetu Hana chake tena , tatizo wambea tukiwaonya mnaleta midomo na kujifanya wajuaji, sasa ile tattoo sijui utafanyaje maskini🤣🤣🤣
Sawa mmbea
 
Tunda kawaida yake ulichume ulioshe na ulile sasa utakuwa mwendawazimu kuowa tunda hata apple imegatwa tu na kuwa nembo ya company. Ila mwanaume kuwa mbeya noma, haya mambo ya tunda mwachie hence mtanashati.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom