Casto Dickson kaachwa rasmi na Tunda

Casto Dickson kaachwa rasmi na Tunda

Weka Picha kaachwaje?
let go.jpg

Hiyo hapo...Casto ndio hilo pulizo.
 
Moja ya upumbavu mkubwa ambao sitokuja kuwa nao na kuufanya kamwe hadi natoweka hapa Duniani ni kuchora tattoo ya demu kwenye mwili wangu ni upuuzi wa kiwango cha lami "Standard Gauge" hata awe anajiheshimu na ana tabia nzuri kiasi gani,

Yani casto bure kabisa . Akili hana
 
Moja ya upumbavu mkubwa ambao sitokuja kuwa nao na kuufanya kamwe hadi natoweka hapa Duniani ni kuchora tattoo ya demu kwenye mwili wangu ni upuuzi wa kiwango cha lami "Standard Gauge" hata awe anajiheshimu na ana tabia nzuri kiasi gani,
Hahahahah wanawake hawatabiriki
 
Tunda kawaida yake ulichume ulioshe na ulile sasa utakuwa mwendawazimu kuowa tunda hata apple imegatwa tu na kuwa nembo ya company. Ila mwanaume kuwa mbeya noma, haya mambo ya tunda mwachie hence mtanashati.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Post ya pili kwa ubora kwa october hii apple nini?
 
Back
Top Bottom