Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
Hahaha ila mdomo koma mieeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia munalove kapigwa chini na Joel lwaga, hivyo Casto anaweza kutumia hiyo fursa kurudisha penzi lao, ikiwezekana atafutwe mtoto mwingine.
Moja ya upumbavu mkubwa ambao sitokuja kuwa nao na kuufanya kamwe hadi natoweka hapa Duniani ni kuchora tattoo ya demu kwenye mwili wangu ni upuuzi wa kiwango cha lami "Standard Gauge" hata awe anajiheshimu na ana tabia nzuri kiasi gani,
Hahahahah wanawake hawatabirikiMoja ya upumbavu mkubwa ambao sitokuja kuwa nao na kuufanya kamwe hadi natoweka hapa Duniani ni kuchora tattoo ya demu kwenye mwili wangu ni upuuzi wa kiwango cha lami "Standard Gauge" hata awe anajiheshimu na ana tabia nzuri kiasi gani,
hahaha mwambie achome kwanza sindano ya ganzi ...Niko na castor APA ndo tunasubiri Pasi ipate moto ili tusolve ishu ya tattoo
Mademu kama wale sio wakuweka kibanda "... hawawaoni wenzao kina FA. AY . PR.JAY .etckuzaliwa mjini nako kunasaidia, ushamba wa kipuuzi kama wa akina castor unaepukana nao
Niko na castor APA ndo tunasubiri Pasi ipate moto ili tusolve ishu ya tattoo
Huyo marioo suguHongera Sana Castro kwa kuachwa na Tunda naona hela yako utaanza kuhifadhi/kuitunza.
Kitoto kimeweka kambi ar kanapakuliwa 2 mpka box 2 kanatoa mzigoMaskini Casto. Alijiaminisha kweli
Box 2 ndiyo ngapi hiyo?Kitoto kimeweka kambi ar kanapakuliwa 2 mpka box 2 kanatoa mzigo
Tunda kawaida yake ulichume ulioshe na ulile sasa utakuwa mwendawazimu kuowa tunda hata apple imegatwa tu na kuwa nembo ya company. Ila mwanaume kuwa mbeya noma, haya mambo ya tunda mwachie hence mtanashati.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️