Casto Dickson kaachwa rasmi na Tunda

Casto Dickson kaachwa rasmi na Tunda

Kuna mambo mengi hatuyajui kwenye familia Yao , muna sio chizi kiasi hicho kuikana familia yake, tatizo watu hatujui

Mpaka kaamua kuokoka ujue kapitia mengi sana

Ila muna nae Ana pepo la uongo, dada muongo jaman🤣🤣🤣, Ila Mungu atamsaidia tu maadam kaokoka
Sina hakika mama mtu mzima kama yule anaweza kusingizia kuwa munalove ni mwanae wakati ni uongo, beside that ata kwa muonekano tu wanafanana na mama yake, yule ni muongo na mzandiki huwezi jua kinywa chake kesho kitanena nini, anyway mwenyezi Mungu amuongoe kweli kweli.
 
Ila wambea tulimwambiaga huyu , alivyotuchambaga sasa , mpaka tattoo akajichora mwenyewe , akaona Kafika, wambea tukawa tunahesabu siku tu kama kawaida yetu na kweli yametia , bwana mkubwa naona kapewa cha uso[emoji38]

Ila wanaume wengine bhana , sasa casto kwa akili zako na wewe , na kibarua chako cha utangazaji ukaona unaweza kumtuliza Tunda? Mpaka mtoto wako patrick ukamtekeleza(rest in peace) , ukawa usikii hili wa lile, kutwa unakula bata na tunda, ukatuchamba wambea kuwa tunakuonea wivu maneno kibao , hivi ukisikiliza zile interview now unajisikiaje? Dah maumivu yake nayajua Ila pole ndo ukubwa, naona Tunda kakufilisi kaona huna jipya kaamua kusepa

Kwa aliye na akili timamu, akisoma huu uandikaji wa casto , jinsi alivyoandika kwa hekima ni dhahiri kaka yetu Hana chake tena , tatizo wambea tukiwaonya mnaleta midomo na kujifanya wajuaji, sasa ile tattoo sijui utafanyaje maskini🤣🤣🤣
Rest In Peace Warumi... 😔😔
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom