066
Member
- Sep 9, 2017
- 6
- 4
Yule ni demu wa kula na kuondoka yani hakajatulia. Mpaka kinje na uzee ule amekala
ushaambiwa Tunda we unataka ushibe kula ondoka[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni demu wa kula na kuondoka yani hakajatulia. Mpaka kinje na uzee ule amekala
Ha Ha Ha[emoji23][emoji23]ushaambiwa Tunda we unataka ushibe kula ondoka[emoji23]
Sina hakika mama mtu mzima kama yule anaweza kusingizia kuwa munalove ni mwanae wakati ni uongo, beside that ata kwa muonekano tu wanafanana na mama yake, yule ni muongo na mzandiki huwezi jua kinywa chake kesho kitanena nini, anyway mwenyezi Mungu amuongoe kweli kweli.Kuna mambo mengi hatuyajui kwenye familia Yao , muna sio chizi kiasi hicho kuikana familia yake, tatizo watu hatujui
Mpaka kaamua kuokoka ujue kapitia mengi sana
Ila muna nae Ana pepo la uongo, dada muongo jaman🤣🤣🤣, Ila Mungu atamsaidia tu maadam kaokoka
😂😂😂😂😂😂😂Niko na castor APA ndo tunasubiri Pasi ipate moto ili tusolve ishu ya tattoo
We kweli fyatu 😂😂😂😂😂View attachment 884146
Hiyo hapo...Casto ndio hilo pulizo.
Hahah we jamaa nyoko 😂😂😂 konki fayaushaambiwa Tunda we unataka ushibe kula ondoka[emoji23]
Niko na castor APA ndo tunasubiri Pasi ipate moto ili tusolve ishu ya tattoo
Naongezea kidogo "na mwanaume haingii period"Mwanaume hana hasara.
Kama mzigo kala vya kutosha.
Asimbabaikie maisha lazma yaendelee.
Mwanaume hazeeki.
HahahaMama Gaude akiniacha na hii tattoo nakata mkono wenyewe nampa aondeke nao.
Rest In Peace Warumi... 😔😔Ila wambea tulimwambiaga huyu , alivyotuchambaga sasa , mpaka tattoo akajichora mwenyewe , akaona Kafika, wambea tukawa tunahesabu siku tu kama kawaida yetu na kweli yametia , bwana mkubwa naona kapewa cha uso[emoji38]
Ila wanaume wengine bhana , sasa casto kwa akili zako na wewe , na kibarua chako cha utangazaji ukaona unaweza kumtuliza Tunda? Mpaka mtoto wako patrick ukamtekeleza(rest in peace) , ukawa usikii hili wa lile, kutwa unakula bata na tunda, ukatuchamba wambea kuwa tunakuonea wivu maneno kibao , hivi ukisikiliza zile interview now unajisikiaje? Dah maumivu yake nayajua Ila pole ndo ukubwa, naona Tunda kakufilisi kaona huna jipya kaamua kusepa
Kwa aliye na akili timamu, akisoma huu uandikaji wa casto , jinsi alivyoandika kwa hekima ni dhahiri kaka yetu Hana chake tena , tatizo wambea tukiwaonya mnaleta midomo na kujifanya wajuaji, sasa ile tattoo sijui utafanyaje maskini🤣🤣🤣
HahahaIla wambea tulimwambiaga huyu , alivyotuchambaga sasa , mpaka tattoo akajichora mwenyewe , akaona Kafika, wambea tukawa tunahesabu siku tu kama kawaida yetu na kweli yametia , bwana mkubwa naona kapewa cha uso[emoji38]
Ila wanaume wengine bhana , sasa casto kwa akili zako na wewe , na kibarua chako cha utangazaji ukaona unaweza kumtuliza Tunda? Mpaka mtoto wako patrick ukamtekeleza(rest in peace) , ukawa usikii hili wa lile, kutwa unakula bata na tunda, ukatuchamba wambea kuwa tunakuonea wivu maneno kibao , hivi ukisikiliza zile interview now unajisikiaje? Dah maumivu yake nayajua Ila pole ndo ukubwa, naona Tunda kakufilisi kaona huna jipya kaamua kusepa
Kwa aliye na akili timamu, akisoma huu uandikaji wa casto , jinsi alivyoandika kwa hekima ni dhahiri kaka yetu Hana chake tena , tatizo wambea tukiwaonya mnaleta midomo na kujifanya wajuaji, sasa ile tattoo sijui utafanyaje maskini🤣🤣🤣
Ni huyu huyu Tunda (baka baka) Capuccino.?
HahahaRest In Peace Warumi... 😔😔