pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 692
- 880
Duuh.. Ninaamini ilikuwa ni bahati mbaya na aliumia kutokana na kifo cha mshkaji wake.. na mbaya zaidi yeye kuwa ni sababu ya kifo hicho.. Amuweke Mungu mbele na kujaribu kuwafikia wote walioguswa na msiba huo..
ukiua hata utoke jela maisha yako sio marefu haijarish ulikusudia au bahati mbaya ,mifano ipo mingi sana kwa walio ua kufa mapema
Huyu jamaa nilisoma kwenye gazeti la udaku kwamba waligombana kwa ajili ya dem,,Steve akamfuata getoni kwake akiwa na kisu,katika purukushani za steve kutaka kumchoma jamaa,jamaa akabahatika kumpokonya kisu na kumchoma steve.

Alivyotoka tu akaenda zake Songea. Anasema amekuwa akiwasiliana sana na J-mo kipindi alivyotoka jela,kabla J-mo hajasafiri uholanzi.
ndo ilivyokuwa,mapenzi yanauakumbe ndo ilikuwa hivi...........sikuwahi kujua sosi ya kifo au tukio lenyewe
J Moe Uholanzi kenda lini? Huyu bro nae Punda nini?
J Moe Uholanzi kenda lini? Huyu bro nae Punda nini?
ukiua hata utoke jela maisha yako sio marefu haijarish ulikusudia au bahati mbaya ,mifano ipo mingi sana kwa walio ua kufa mapema
basi noma sana sikutegemeakitambooo,ndo alomshawishi cowobama..
mchapanga? Aisee hapanakitambooo,ndo alomshawishi cowobama..