pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 692
- 880
Aliyekuwa producer wa kundi maarufu la Mambo poa,Castrol Ponella. Ametoka jela miezi 5 iliyopita kwa msamaha wa rais,toka 2004 hadi mwaka huu.
Alipelekwa jela kwa kumchoma kisu mwanamuziki Steve 2k na kumsababishia kifo.
Hakutaka vyombo vya habari kujua ndio maana akatulia kwanza.
Source: East Africa radio & Dj Seki.
Alipelekwa jela kwa kumchoma kisu mwanamuziki Steve 2k na kumsababishia kifo.
Hakutaka vyombo vya habari kujua ndio maana akatulia kwanza.
Source: East Africa radio & Dj Seki.