Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.

CHADEMA imeimarika kwa maamuzi haya.

Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Halima Mdee a k.a .Delila wa Tanzania Mungu anamuona .
 
Kitu nadhani hapa hii ni furaha kwa chama tawala..haijalishi halima mdee atakua na nguvu nje ya chama au la lakin nachokiona hapa ni chadema kuanza upya tena kutengeneza watu...
Chadema kilitakiwa kipige hatua mbili mbele sasa kimerudi nyuma hatua mbili mpaka kije kikae sawa muda umeisha na pengine kina halima nao wameahaanzisha chama chao cha upinzan kama zito alivyofanya na mgawanyiko wa vyama vya upinzan utaendelea kuwa mkubwa ambapo ndiyo uimara wa chama tawala unapoanzia...
Najua mitego kama hii ni vigumu kuiepuka lakin ni busara zaid kuchukua muda wa kutosha kabla ya kuchukua maamuzi..
Kamat kuu ya chadema ingejipa muda kidogo...
Hivi wakisema wanaanzisha chama kuna mtu atawafuata kweli?
 
Laana ya kuwavua vyupi wenzake inamtafuna
Mkuu heshimu utu wao, hata kama wamekosea mazuri mengi sana ambayo wamekifanyia chama.

Nadhani wanachadema tuishie kusifia maamuzi ya chama tu tusifikie hatua ya kuanza kuwananga na kutweza utu wao.

Huu uhuni wa kutweza utu wa watu na kuchafua watu tuyaachie yale makopo ya mbogamboga.
 
Niseme kweli Halima Mdee ameuvunja moyo wangu, lkn Mbowe ameuinua
Kusema kweli mimi wameniumiza wote isipokuwa Esther Bulaya tu.

Wamama wote ni zao halisi la juhudi za CHADEMA isipokuwa Bulaya tu.

Inaumiza sana but tutasonga mbele.
 
Mkuu heshimu utu wao, hata kama wamekosea mazuri mengi sana ambayo wamekifanyia chama.
Nadhani wanachadema tuishie kusifia maamuzi ya chama tu tusifikie hatua ya kuanza kuwananga na kutweza utu wao.
Huu uhuni wa kutweza utu wa watu na kuchafua watu tuyaachie yale makopo ya mbogamboga.
Asante sana PTER Mimi si mwana Chadema lakini ni moja katika waunga mkono wakubwa wa msimamo wa Chadema kama chama. Na mimi nawaomba wana Chadema wajizuie kuwachafua hao kwa kutweza utu wao. Vitendo vya kihuni tuwaachie wana CCM ambao uhuni ni jadi yao katika lugha, tabia na matendo hadi kwa viongozi wa juu kabisa na hawaoni haya kuviingiza hadi vyombo vya dola katika uhuni wao. Kuwaita wasaliti kunatosha na maamuzi ya kufukuzwa uanachama ni sahihi kabisa.
 
Hawa mamodereta sijui wamekuwaje siku hizi. Wamenifungia mara 3 katika mwezi 1! Moja nilindika kuhsu kula koni ya ukwaju. Akili yao ilivyombovu wakafikiria matusi wakati mi naanisha koni za ukwaju za Bhakressa.

Vipi Botswana huku? Ama haupapendi? Mwezi wa 4,5,6 hivi kuna kuwa na baridi kama Ulaya tu.
Aah pole kwa kufungiwa! Maisha yao yakoje? Ni bora kuliko ya kwetu? Uchumi? Maendeleo.uhuru?
 
Nec walijua kuwa ni agaist katiba kupeleka majina bila ridhaa ya chama unadhani kwa nini walikubali kufanya hivyo???
 
Nec walijua kuwa ni agaist katiba kupeleka majina bila ridhaa ya chama unadhani kwa nini walikubali kufanya hivyo???
Hawana maelezo kwa maswali ya msingi. Je ni kweli Tanzania bara wapinzani walipata viti viwili tu? Je sasa hili ni bunge la chama kimoja au vyama vingi? Lakini pia nafsi zinawasuta kwa jinsi walivyofeli kusimamia uchaguzi. Maswali kama kuhusu kura nyingi zilizokamatwa zikiwa tayari zimepigwa tayari! Nchi za nje wana mabalozi humu nchini wanaoona kila kitu. NEC wanataka angalao wabunge hao waingie ili kuficha ukweli. Chadema wanapokataa kuwapeleka inakuwa ni mwiba mchungu. Wanahaha!
 
Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.

CHADEMA imeimarika kwa maamuzi haya.

Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Huu mchezo nyie hamjaujua,halima na wenzie wataomba radhi na watasamehewa na wataendelea na ubunge wao na vyeo vyao chadema
 
Back
Top Bottom