Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.

CHADEMA imeimarika kwa maamuzi haya.

Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Halima Mdee a k.a .Delila wa Tanzania Mungu anamuona .
 
Hivi wakisema wanaanzisha chama kuna mtu atawafuata kweli?
 
Laana ya kuwavua vyupi wenzake inamtafuna
Mkuu heshimu utu wao, hata kama wamekosea mazuri mengi sana ambayo wamekifanyia chama.

Nadhani wanachadema tuishie kusifia maamuzi ya chama tu tusifikie hatua ya kuanza kuwananga na kutweza utu wao.

Huu uhuni wa kutweza utu wa watu na kuchafua watu tuyaachie yale makopo ya mbogamboga.
 
Niseme kweli Halima Mdee ameuvunja moyo wangu, lkn Mbowe ameuinua
Kusema kweli mimi wameniumiza wote isipokuwa Esther Bulaya tu.

Wamama wote ni zao halisi la juhudi za CHADEMA isipokuwa Bulaya tu.

Inaumiza sana but tutasonga mbele.
 
Asante sana PTER Mimi si mwana Chadema lakini ni moja katika waunga mkono wakubwa wa msimamo wa Chadema kama chama. Na mimi nawaomba wana Chadema wajizuie kuwachafua hao kwa kutweza utu wao. Vitendo vya kihuni tuwaachie wana CCM ambao uhuni ni jadi yao katika lugha, tabia na matendo hadi kwa viongozi wa juu kabisa na hawaoni haya kuviingiza hadi vyombo vya dola katika uhuni wao. Kuwaita wasaliti kunatosha na maamuzi ya kufukuzwa uanachama ni sahihi kabisa.
 
Aah pole kwa kufungiwa! Maisha yao yakoje? Ni bora kuliko ya kwetu? Uchumi? Maendeleo.uhuru?
 
Nec walijua kuwa ni agaist katiba kupeleka majina bila ridhaa ya chama unadhani kwa nini walikubali kufanya hivyo???
 
Nec walijua kuwa ni agaist katiba kupeleka majina bila ridhaa ya chama unadhani kwa nini walikubali kufanya hivyo???
Hawana maelezo kwa maswali ya msingi. Je ni kweli Tanzania bara wapinzani walipata viti viwili tu? Je sasa hili ni bunge la chama kimoja au vyama vingi? Lakini pia nafsi zinawasuta kwa jinsi walivyofeli kusimamia uchaguzi. Maswali kama kuhusu kura nyingi zilizokamatwa zikiwa tayari zimepigwa tayari! Nchi za nje wana mabalozi humu nchini wanaoona kila kitu. NEC wanataka angalao wabunge hao waingie ili kuficha ukweli. Chadema wanapokataa kuwapeleka inakuwa ni mwiba mchungu. Wanahaha!
 
Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.

CHADEMA imeimarika kwa maamuzi haya.

Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Huu mchezo nyie hamjaujua,halima na wenzie wataomba radhi na watasamehewa na wataendelea na ubunge wao na vyeo vyao chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…