Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

Watanzania walio wengi wanapenda haki, usawa wa binadamu na Amani.
Waovu wachache wanadhulumu kwa kutumia mwavuli wa amani wakikwepa kabisa haki na usawa wa binadamu.
Bahati mbaya sana, uovu huu umepenya hadi kwa viongozi wa dini.
 
ww mnuka maku acha wenge
Usipende kuidhalilisha sehemu iliyopitia kukuleta wewe duniani, na ikiwa bado ndio sehemu unayopenda kuitumia kujistarehesha. Sijui kama mamako anajua unamtukana huku, vinginevyo useme ulishamnusa ukajua yake inanukia.

Vinginevyo nikuambie tuu mimi najivunia kuwa mwanamke ninaenukia uwaridi, najua hii ni jinsia unayoitamani hadi unalazimisha kutumia kusikotumika
 
sawa mnukia/mnuka waridi(maku)
 
we maku kubwa, acha kunuka nyapu ufanane na wenzako
 
Tuone hiyo ruzuku stahiki ya chama kuwa na wabunge itapelekwa Lumumba? Kweli maarifa ni kipaumbele

​

Imepungua sana kipindi hiki kutoka +330 million kwa mwezi hadi less than 5 million mtajijua. Sasa hapo Ufipa mtahama au vipi?
 
Maisha magumu popote. Kinachotakiwa bidii tu. Kama uhuru upo wa kutosha. Rais anatembea bila kuzungukwa na wanajeshi kama Jiwe. Rais katengeneza marafiki siyo maadui.
Aah pole kwa kufungiwa! Maisha yao yakoje? Ni bora kuliko ya kwetu? Uchumi? Maendeleo.uhuru?
 
Mbowe ni mwanasiasa mzoefu na mwenye uelewa mkubwa, ipo siku atafanya maamuzi na kwa wasiomuelewa watabaki na wa kumuelewa mtamuelewa sana
Mwenye macho haambiwi tazama muda ukifika tutajua nini malengo yako.
 
Umemjibu vema. Ameshamnusa mama yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…